Wajanja wa Bongo wamnasa Mbwana Samata

Wajanja wa Bongo wamnasa Mbwana Samata

katumbi ana maslah Nantes Fc ya ufaransa kwamba mchezaj wake aktaka kutolew kw mkopo anaenda kwke Tp mazembe.ndo mana alngangania samatta aende Nantes fc.ikashindikana.
Samatta ameenda Genk fc Belgium hatomalza mkataba Mazembe kukwepa free transfer.
source:clouds FM.
 
Unajuaje hao wajanja wanahusika vipi na Samata?

Samata meneja wake ni mtanzania


Nilimuona Shafii Dauda akieleza alivyomshawishi Mrisho Ngassa abaki Marekani alipoenda for trials
ili acheze na Manchester United aoneshe kipaji chake
nilishangaa sana..hasa aliposema Mrisho Ngasa alikuwa hataki
alikuwa analilia kuja kuwahi mechi ya Yanga Dar....

Hii nchi ina vituko


ha ha haaaaa
 
Back
Top Bottom