Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Angalia na Bei yake, Haina airbags wala nini, Ila nimekapenda sana hiyo gari. Niliimiliki 1998 na nikaiuza 2008 Ila leo najuta sana kuiuza.Yaani,mpaka udenda unantoka.
Bonge ya gari. Na Mimi nilikuwa nalo twin cams 6 cylinder.Angalia na Bei yake, Haina airbags wala nini , Ila nimekapenda sana hiyo gari. Niliimiliki 1998 na nikaiuza 2008 Ila leo najuta sana kuiuza.
Bonge ya gariii, full balance, full comfortable, full mamwendo mdundo
Ndugu umeongea kwa uchungu sanaMkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1.daladala
2.bodaboda
3.binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4.jua kali,vumbi,matope,madimbwi
5.maji machafu na sabuni za unga unazooshea
Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
Hata mie nishajiuliza sana nikakosa majibu kinachonishangaza sasa ikija bongo miaka mitatu tu ishakongoroka....View attachment 1659067
Wajapani wanawezaje kutunza gari na kubaki mpya kiasi hiki ikiwa na miaka 28.
Japan ni nchi ya visiwa visiwa, hali ya hewa ya joto na wakati mwingine baridi Kali, upepo unavuma chumvi, vitu vinapata kutu.
Lakini magari ya Japan Yana bodi imara sana haiathiriki na kutu ukilinganisha na magari ya Uingereza.
Hivi hii imekaaje?
Hata tu gari kuendelea kuea mpya baada ya miaka 28 tangu itengenezwe.
Extrovert , RRONDO na Mshana Jr naomba maarifa yenu na wengine wote ambao sijawataja mwakaribishwa
Asante sana kwa neno lako la faidaMkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1.daladala
2.bodaboda
3.binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4.jua kali,vumbi,matope,madimbwi
5.maji machafu na sabuni za unga unazooshea
Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
24 valve nimeshawahi mara nyingi KWENDA Arusha kwa masaa manne usikuBonge ya gari. Na Mimi nilikuwa nalo twin cams 6 cylinder.
Well said my bro.Barabara zao bomba na gari kufanyiwa service kila mara na siyo mpaka liharibike.
Mkuu nakaa Kigamboni natumia pantoni mara kwa mara yaani kuna wamama wana ndoo za samaki wanapita nazo katikati ya magari wanagonga gari lako na zile ndoo bila kujali. Ukitaka siku yako iharibike muulize au mwambie apite vizuri. Bado wauza crisps hawajaweka matenga yao ya chuma juu ya bonnet, raia ataweka begi lake juu ya boot, bado kuna wale wabeba mabegi mgongoni kazi Yao ni kugonga na kugeuza side mirror. Ni balaa gari ina makovu balaa!Ndugu umeongea kwa uchungu sana
Toyota Mark 2 hizo balaa injini iliyomo humo ya 1G au 1JZ mjapani aliendelea kuitumia kwenye Balloon, Gx100 na Gx110 hizi Grande.24valve nimeshawahi mara nyingi KWENDA Arusha kwa masaa manne usiku
Miaka mitatu?! Miezi sita tu ishabadilika rangi makovu kibaoHata mie nishajiuliza sana nikakosa majibu kinachonishangaza sasa ikija bongo miaka mitatu tu ishakongoroka....
Imagine tunatamba na crown na ist za 2005 kutoka Japan zinakuja nzurii ila we ikishakaa bongo mwaka tu balaaaMkuu umaskini na kutunza vitu ni vitu viwili tofauti. Chukulia wewe gari yako unaitunza vizuri sana ila ukiingiza barabarani unakutana na
1.daladala
2.bodaboda
3.binadamu wasiojali Mali za watu(hawa unaweza kuwakuta wamekaa juu ya bonnet wanapiga Stori au unamkuta kaweka kreti lake la matunda au maji anayouza
4.jua kali,vumbi,matope,madimbwi
5.maji machafu na sabuni za unga unazooshea
Hivi vyote haviwezi kukukosa lazima gari ichakae bila kupenda
Unapokea gari ya 2005 huamini jinsi ilivyo safi...ipe miezi mitatuImagine tunatamba na crown na ist za 2005 kutoka japan zinakuja nzurii ila we ikishakaa bongo mwaka tu balaaa
Bado enzi zile za foleni kubwa ya pantoni, kuna watu hawapangi foleni wanachomeka bila kukupa taarifa, Kuna mtu aligonga gari yangu siku moja kipumbavu Sana,mi nasogeza gari mbele nae huyo ghafla kaingiza nyuma yangu akapiga ubavu wote.Mkuu nakaa Kigamboni natumia pantoni mara kwa mara yaani kuna wamama wana ndoo za samaki wanapita nazo katikati ya magari wanagonga gari lako na zile ndoo bila kujali. Ukitaka siku yako iharibike muulize au mwambie apite vizuri. Bado wauza crisps hawajaweka matenga yao ya chuma juu ya bonnet,raia ataweka begi lake juu ya boot, bado kuna wale wabeba mabegi mgongoni kazi Yao ni kugonga na kugeuza side mirror. Ni balaa gari ina makovu balaa!
Rangi kwangaruuu, bampa linatoka unaweka misumari mradi tafranUnapokea gari ya 2005 huamini jinsi ilivyo safi...ipe miezi mitatu