Wajasiriamali watakiwa kuuza bidhaa nje ya nchi

kiwenini

Member
Joined
Nov 25, 2018
Posts
73
Reaction score
43
Shirika la viwango Tanzania (TBS),limewataka wazalishaji wenye bidhaa zilizokidhi matakwa,
ya viwango na kukabidhiwa leseni za kutumia alama ya ubora,kuhakikisha wanatumia fursa
hiyo kupanua masoko yao ikiwa ni pamoja na kuuza bidhaa zao nje ya nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…