Shirika la viwango Tanzania (TBS),limewataka wazalishaji wenye bidhaa zilizokidhi matakwa,
ya viwango na kukabidhiwa leseni za kutumia alama ya ubora,kuhakikisha wanatumia fursa
hiyo kupanua masoko yao ikiwa ni pamoja na kuuza bidhaa zao nje ya nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.