Wajasiriamari: Green house kwa uwezo wako!

kajansi

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2012
Posts
485
Reaction score
222
Wanajamvi kumekuwapo wenzetu humu jamvini wakipata pesa hawajui lakufanya. Nimejaribu kufanya maulizo kuhusu hizi kitu GH na haya ndo majibu waliyonipa. Web yao ni Greenhouses in Kenya | Borehole drilling and greenhouse construction in Kenya Tanzania Uganda.

Kazi kwenu wakuu. Hivi vipimo hapa chini ni metres.

Thank you for request and please welcome.

An 8 x 15 will cost ksh.195, 000, an 8 x 30 will cost Ksh. 295,000, an 8 x 45 will be Ksh.395, 000 and an 8 x 60 ksh. 525,000.

These are metallic galvanized greenhouses. Rates are EX- Nairobi

This includes;
Technician
Tunnel/ Irrigation kit
Advice

Excludes;
Transport, Seedlings, fertilizers, technicians living costs, taxes and customs clearance, fumigation and agronomist

1.The crop production costs and expected profit margin

Ans: For the 8 x 15 unit, one can plant 500 stems. Each stem should produce 30 kilos on average and a kilo of tomatoes costs 40/=

2. How long does the green house shade last
Ans: This can go upto 5 years, depending on how care is taken on it.

3.How long does harvesting take
Ans: First harvest should be 4 months, then continuous harvest upto a further 2 months, then you plant again for best results.

4.What technical skills are needed
Ans: Just an agriculturalist, but our technicians will be hardy to offer you advice

Where do you want to install these?

Jeff Mwando
Green Tec Irrigation
Exchange building, 3rd floor, 17
Koinange street
P.o. box 24935-00100
 
Mbona hivi vitu vipo muda mrefu hapa Tanzania! Mpaka vya Kenya vije huku kwetu! Kuna makampuni kibao bongo yanatoa huduma hizo....
 
Tueleweshe mkuu, vinapatikana wapi, ubora wake, ukubwa wake, bei yake na wataalamu wa kuyafunga kama wapo.
 
Mbona hivi vitu vipo muda mrefu hapa Tanzania! Mpaka vya Kenya vije huku kwetu! Kuna makampuni kibao bongo yanatoa huduma hizo....

Mbona huweki hayo makampuni ya bongo?
 
Mbona hivi vitu vipo muda mrefu hapa Tanzania! Mpaka vya Kenya vije huku kwetu! Kuna makampuni kibao bongo yanatoa huduma hizo....
watu wengine sijui mkoje!Sasa si uyataje hayo makampuni 'yako' ya kibongo? Makampuni yenyewe hayajitangazi wala hayajulikani yaliko
 
Mbona hivi vitu vipo muda mrefu hapa Tanzania! Mpaka vya Kenya vije huku kwetu! Kuna makampuni kibao bongo yanatoa huduma hizo....

Mkuu asante kwa taarifa! nililazimika kuangaika hadi kenya kwa vile hapa kwetu sikufanikiwa kupata popote! tujulishe uenda tukabana matumizi!
 
Nenda Balton Tanzania wapo njia ya mwenge cocacola.
 
Balton Tanzania, niliwatumia inquiry ya products zao ili niweze kununua, nilijibiwa nisubiri nitajibiwa, hadi leo mwezi umepita ni kimya, wameweka website address kama fashion tu hakuna lolote, Tanzania hatuwezi kuwakaribia Kenya, sisi bado analogy saaana tu! Balton kama mnaingia humu JF mjijue nyinyi hamna lolote nyie! Wachina, Wajapan na hata Kenya nikifanya enquiry wanajibu in short time, nyie bado mnauza sura tu kusubiri maonyesho ya nane nane !! Sasa hizo products mmeweka kwenye website sijui Mkulima kit na Acre kit za nini iwapo tunafanya inquiry mmeuchuna tu. Lol
 
usijaribu kufanya inquiry kwenye kampuni yoyote ile ya kibongo hutajibiwa sisi bado sana kwenye custumer service
 
Sabayi nakubari! bado sana sisi ilinichukua masaa 6 tu! kujibiwa hiyo info. toka kenya! na nilipotaka kujua itamchukua technician siku ngapi kukamilisha hiyo kazi haikuzidi dk. 30 nilipata jibu.

Inahitajika technician mmoja kuinstall 8x15 GH kwa siku nane! Ngoma sasa! nimetuma mail TRA wanambie habari za kodi leo siku ya nne hakuna majibu! CURSED COUNTRY!
 
Kijansi na Sabayi ndiyo hivyo wakubwa tuna vikwazo vingi sana, mimi hata mtu aseme anadigree 20 simwamini tena hadi nione results za kazi zake, wengi ni ubabaishaji tu na kutunisha migongo !!
 
Sabayi nakubari! bado sana sisi ilinichukua masaa 6 tu! kujibiwa hiyo info. toka kenya! na nilipotaka kujua itamchukua technician siku ngapi kukamilisha hiyo kazi haikuzidi dk. 30 nilipata jibu.

Inahitajika technician mmoja kuinstall 8x15 GH kwa siku nane! Ngoma sasa! nimetuma mail TRA wanambie habari za kodi leo siku ya nne hakuna majibu! CURSED COUNTRY!

mkuu mimi nilisha acha siku nyingi kufanya inquiries bongo tumeenda shule lkn hatujelimika.kwa kesi yako nadhani hutalipa kodi vifaa vyote vya kilimo havina kodi we agiza labda uandae rushwa tu kidogo najua TRA lazima wakusumbue uwape rushwa kama kawaida yao ndo nchi yetu hii mkuu
 
Asante sana Sabayi! imenilazimu niwapigie simu na wamenieleza kama ulivyonijuza hapo juu! Ila la rushwa hawajaniambia!!!( Iam kiding kwani tunajua mambo ya kibongobongo!)
 
Balton Tanzania, niliwatumia inquiry ya products zao ili niweze kununua, nilijibiwa nisubiri nitajibiwa, hadi leo mwezi umepita ni kimya, wameweka website address kama fashion tu hakuna lolote, Tanzania hatuwezi kuwakaribia Kenya, sisi bado analogy saaana tu! Balton kama mnaingia humu JF mjijue nyinyi hamna lolote nyie! Wachina, Wajapan na hata Kenya nikifanya enquiry wanajibu in short time, nyie bado mnauza sura tu kusubiri maonyesho ya nane nane !! Sasa hizo products mmeweka kwenye website sijui Mkulima kit na Acre kit za nini iwapo tunafanya inquiry mmeuchuna tu. Lol

nilikuwa naona mabanda ya namna hii kenya, arusha, k'ro etc lakini sikujua maana na faida zake. Nilikwisha anza mchakato wa kuanza kilimo cha umwagiliaji (heka 120) kwa kuchimba visima .... nimeangalia (binafsi) gharama za kuanzisha GH, quality & quantity of products, risk, return of investment nimegundua hii kitu ina gharama ndogo sana compared na kuhudumia heka 100+. Hao balton nimependa sana taarifa zao zilizopo kwenye mtandao wao but lack of seriousness kwa wateja (kutokana na maelezo yako na wengine) ni kikwazo na hii huwenda ikasababishia hasara iwapo nitafanya nao kazi i.e kulipua kazi.

Sabayi nakubari! bado sana sisi ilinichukua masaa 6 tu! kujibiwa hiyo info. toka kenya! na nilipotaka kujua itamchukua technician siku ngapi kukamilisha hiyo kazi haikuzidi dk. 30 nilipata jibu.

Inahitajika technician mmoja kuinstall 8x15 GH kwa siku nane! Ngoma sasa! nimetuma mail TRA wanambie habari za kodi leo siku ya nne hakuna majibu! CURSED COUNTRY!

mkuu uliuliza maswali mazuri sana na nimeipenda sana feedback yao. Tuendelee kupeana taarifa za namna hii
 
nilikuwa naona mabanda ya namna hii kenya, arusha, k'ro etc lakini sikujua maana na faida zake. Nilikwisha anza mchakato wa kuanza kilimo cha umwagiliaji (heka 120) kwa kuchimba visima .... nimeangalia (binafsi) gharama za kuanzisha GH, quality & quantity of products, risk, return of investment nimegundua hii kitu ina gharama ndogo sana compared na kuhudumia heka 100+. Hao balton nimependa sana taarifa zao zilizopo kwenye mtandao wao but lack of seriousness kwa wateja (kutokana na maelezo yako na wengine) ni kikwazo na hii huwenda ikasababishia hasara iwapo nitafanya nao kazi i.e kulipua kazi.

mkuu uliuliza maswali mazuri sana na nimeipenda sana feedback yao. Tuendelee kupeana taarifa za namna hii

cursed b the nation that neglect agriculure, and misfortune shal befal it!
 
nilikuwa naona mabanda ya namna hii kenya, arusha, k'ro etc lakini sikujua maana na faida zake. Nilikwisha anza mchakato wa kuanza kilimo cha umwagiliaji (heka 120) kwa kuchimba visima .... nimeangalia (binafsi) gharama za kuanzisha GH, quality & quantity of products, risk, return of investment nimegundua hii kitu ina gharama ndogo sana compared na kuhudumia heka 100+. Hao balton nimependa sana taarifa zao zilizopo kwenye mtandao wao but lack of seriousness kwa wateja (kutokana na maelezo yako na wengine) ni kikwazo na hii huwenda ikasababishia hasara iwapo nitafanya nao kazi i.e kulipua kazi.

mkuu uliuliza maswali mazuri sana na nimeipenda sana feedback yao. Tuendelee kupeana taarifa za namna hii
Mkuu Narubongo natumaini wewe ni mdau wa dodom kama mimi hata mimi nipo kwenye process ya kuchimba kisima kwa ajili ya irrigation kwa nina 200 acres nilitaka kuchimba this month ila nikaambiws sio muda mzuri wa kuchimba nisubiri mpaka mvua zikate na maji yashuke naomba uzoefu wako kwenye uchimbaji hasa kwenye bei hadi sasahivi bei ya chini kabisa niliyopata ni elf 90 kwa m na ni driller toka dar wa hapo dom bei zao hazikamatiki kama unamjua driller yoyote chini ya hapo plse let me know na maji umepata kuanzia umbali gani? by the way ukitumis GH ni rahisi sana hata kwenye uendeshaji kuliko methods nyingine za irrigation i will opt for that
 
Back
Top Bottom