Naomba unijulishe where can I find this Mr?
Hapo juu kuna mawasiliano zinapatikana Nairobi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba unijulishe where can I find this Mr?
Hapo juu kuna mawasiliano zinapatikana Nairobi.
Balton Tanzania, niliwatumia inquiry ya products zao ili niweze kununua, nilijibiwa nisubiri nitajibiwa, hadi leo mwezi umepita ni kimya, wameweka website address kama fashion tu hakuna lolote, Tanzania hatuwezi kuwakaribia Kenya, sisi bado analogy saaana tu! Balton kama mnaingia humu JF mjijue nyinyi hamna lolote nyie! Wachina, Wajapan na hata Kenya nikifanya enquiry wanajibu in short time, nyie bado mnauza sura tu kusubiri maonyesho ya nane nane !! Sasa hizo products mmeweka kwenye website sijui Mkulima kit na Acre kit za nini iwapo tunafanya inquiry mmeuchuna tu. Lol
nilikuwa naona mabanda ya namna hii kenya, arusha, k'ro etc lakini sikujua maana na faida zake. Nilikwisha anza mchakato wa kuanza kilimo cha umwagiliaji (heka 120) kwa kuchimba visima .... nimeangalia (binafsi) gharama za kuanzisha GH, quality & quantity of products, risk, return of investment nimegundua hii kitu ina gharama ndogo sana compared na kuhudumia heka 100+. Hao balton nimependa sana taarifa zao zilizopo kwenye mtandao wao but lack of seriousness kwa wateja (kutokana na maelezo yako na wengine) ni kikwazo na hii huwenda ikasababishia hasara iwapo nitafanya nao kazi i.e kulipua kazi.
mkuu uliuliza maswali mazuri sana na nimeipenda sana feedback yao. Tuendelee kupeana taarifa za namna hii
Mkuu angalia thread niliyoi-quote hapo juu. Naulizia huyo mheshimiwa wa hapa Dar ambaye amepata mafanikio ktk kilimo hiki. Tafadhali cheki thread nilioi-quote maana nataka nimtembelee huyu Mr nione
Wakuu Mimi ni Bwana Shamba by Professional! Mwaka jana nilibahatika kuhudhuria seminar moja Nairobi kuhusu APPLICATION OF COMMERCIAL QUALITY STANDARDS FOR FRUITS AND VEGETABLES IN EASTERN AFRICA
Part of the warsha tulikwenda shambani nikakutana na Greenhouse ambazo zimetengenezwa locally kwa kutumia mabanzi na plastic sheet! These GH are cheap walikuma wadogowadogo wanaweza kua-afford
Kilichonifurahisha ni kuwa unaweza ukainstall hii GH mahali popote hata maeneo ya ukame namna gani maana matumizi ya maji yako so minimal yaani drip irrigation
Huyu mmliki wa hizi GH alikuwa nazo tatu tu zenye ukubwa 1/8 arce, anavuna capscum na nyanya nzenye quality, hakuna matumizi ya madawa na she can supply to the big supermarket in Nairobi
Good news ni kwamba you can replicate these settings kwa kutumia fundi mchundos na building materials are locally available.
So if you guys are thinking of an intensive agric small land, big production here Iam we can share my little experience