Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

Huna evidence bana kubali kuwa wewe fata upepo mada yoyote ikiletwa jamvini ukiona upepo uko wapi unaungana nao bila kuhoji.
Mkuu km wewe unajiona upo right kwanini hukwenda kuwekeza huko?

Au kwanini usianzishe biashara kama hiyo ya mr kuku then tuone mwisho wako?
 
Mkuu km wewe unajiona upo right kwanini hukwenda kuwekeza huko?

Au kwanini usianzishe biashara kama hiyo ya mr kuku then tuone mwisho wako?
Sheria gani inasema ukiona kitu right basi ukifanye niwekee hapa, ni suala la kuwa right au kuamua ??

Hoja za primary school.
 
Kumbe tariq na mr kuku ni watu wawili tofauti?

Kwaheri!!
Kumbe nabishana na mpumbavu mmoja kwa jina la Umomi

Alaah endelea ku watch movies hapo kwa shemeji. Shwain
 
Kumbe tariq na mr kuku ni watu wawili tofauti?

Kwaheri!!
kumbe nabishana na mpumbavu mmoja kwa jina la Umomi

Alaah endelea ku watch movies hapo kwa shemeji. Shwain
Unatatizo kwenye Ombwe yako wewe.

Tariq ni mfanya Biashara (Founder)

Mrkuku ni kampuni

Najadili masuala ya Biashara mtu asiye jua Cocept ndogo za Biashara.
 
Wewe jamaa una akili sana, pia kuna hawa yamaa wanajmiita JATU Wapo pale jengo la ppf samora posta,wanatumia model hio, wamewekeza kwenye kilimo cha mahindi, alizeti, punga, maharage,machungwa, na parachichi
 
Unatatizo kwenye Ombwe yako wewe.

Tariq ni mfanya Biashara (Founder)

Mrkuku ni kampuni

Najadili masuala ya Biashara mtu asiye jua Cocept ndogo za Biashara.
Hujielewi wewe dogo
Endelea kuangalia tom and jerry hapo kwa shemeji
 
Mkuu tusameane basi sikujua kuhoji ni makosa, nitakuwa kondoo mtukufu mfano wako.
Toka niingie jamiiforum sijawah ona mtu mgumu kuelewa kama wewe na dogo umomi nahisi ni mtu mmoja

Endelea kuangalia tom and jerry hapo kwa shemeji
 
Mpaka kaingia kwenye matatizo alishaanza kushindwa kulipa watu faida. Mradi ulishaanza kusua sua. Msg hajibu alitegemea watu wakae kimya kuhusu hela zao. Watu washawekeza wanategemea baada ya mieizi sita kulipwa utawaambia nini wakati hukuwaeleza uhalisia wa mradi na risk iliyopo.

Challenge gani zikitokea mtu hataweza kulipwa mpaka hapo faida itakapopatikana ambayo inaweza kupitiliza ile miezi sita aliyoahidi. Kwasababu hata hayo makampuni kama hayajatengeneza faida, mwekezaji hutalipwa sasa yeye hakuwaambia the other side of the story alikua anapeleka mambo kienyeji enyeji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…