Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

Huna evidence bana kubali kuwa wewe fata upepo mada yoyote ikiletwa jamvini ukiona upepo uko wapi unaungana nao bila kuhoji.
Mkuu km wewe unajiona upo right kwanini hukwenda kuwekeza huko?

Au kwanini usianzishe biashara kama hiyo ya mr kuku then tuone mwisho wako?
 
Mkuu km wewe unajiona upo right kwanini hukwenda kuwekeza huko?

Au kwanini usianzishe biashara kama hiyo ya mr kuku then tuone mwisho wako?
Sheria gani inasema ukiona kitu right basi ukifanye niwekee hapa, ni suala la kuwa right au kuamua ??

Hoja za primary school.
 
Kumbe tariq na mr kuku ni watu wawili tofauti?

Kwaheri!!
Kumbe nabishana na mpumbavu mmoja kwa jina la Umomi

Alaah endelea ku watch movies hapo kwa shemeji. Shwain
 
TMT ni kina nani Mkuu.

Kundi la Floyd Mayweather.

TMT.jpg
 
Kumbe tariq na mr kuku ni watu wawili tofauti?

Kwaheri!!
kumbe nabishana na mpumbavu mmoja kwa jina la Umomi

Alaah endelea ku watch movies hapo kwa shemeji. Shwain
Unatatizo kwenye Ombwe yako wewe.

Tariq ni mfanya Biashara (Founder)

Mrkuku ni kampuni

Najadili masuala ya Biashara mtu asiye jua Cocept ndogo za Biashara.
 
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.

Crowd farming
ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia uwezo binafsi wa kipesa ni mdogo kuanzisha biashara ya ufugaji.

According to google: Crowd farming is a model where a number of investors share risks and own shares in a farming venture.
The origins of the "crowd" concept can be traced to crowd sourcing where a large number of people are invited to participate in a project.

Aina hii ya kilimo imeshika kasi sana Nigeria.

Huku Nigeria inaitwa crowd farming au online farming (najua hili neno watu hawapendi kulisikia kilimo cha mtandao) Lakini ukijifunza kufatilia vitu kwa undani sidhani kama utakuwa ni mtu wa kupelekwa na mawambi ya watu.

Kuna makampuni mengi sana ambayo yanatumia huu mfumo huko Nigeria na south Africa, Na pia hii concept bado ni ngeni sana kwa hiyo watu wanakuwa negative kisa tu ni kitu kigeni.

Nimefatilia makampuni Mengi ambayo yanatumia mfumo huu na faida kwa wawekezaji ni kuanzia 10%-50%.

Baadhi ya makampuni ni yafutayo (Nigeria):

1. thriveagric.com
2. farmcrowdy.com
3. farmkart.ng
4. porkmoney.com
5. efarms.com.ng/end
6. payfarmer.com
7. agropartnerships.co
8. tradersofafrica.com
9. farmfunded.com
10. ez-farming.com
11. menorahfarms.com
12. farmagric.com
13. farmbuddy.ng
14. groupfarma.com.ng
15. greenfoldfarmprojects.com
16. smartfarm.com.ng

Investment cycles kwa nyingi naona ni kuanzia miezi 4 hadi 12.

Anyway nirudi kwa Mr Kuku anatumia the same mode of operation yaani crowd farming, investment cycle yake ni miezi 4 hadi 6. Na pia soko la uhakika analo, (contract farming)unaingia mikataba awali ya kusupply kuku constantly kwa muda maalum ili mwishoni mwa huu muda ndo ulipwe malipo. (Hii Ina maana unahitaji capital kubwa sana ya kuweza kuendesha mradi bila kuaffect supply ya kuku. Meaning investors au crowd farmers that's where they come in)

Simple facts mt kuku farms
Ana kuku 90,000+
Ana chinja 3000+ every week

Kuhusu masoko ngoja nikupe scenario.

Acacia/Barrick wanaotumia 2500-3000 chickens per week
American Embassy/washirika 1000+ chickens per month
Geita Gold Mine wanahitaji 3000 chickens per week
Bado hizi hotel kubwa na masupplier wadogo wanaopelekea masokoni etc.

Advantages ziko hivi:
Mfano Mimi nimeajiriwa natoka kazini saa mbili usiku nafanya kazi hadi Jumapili. Muda wa kuanzisha na kusimamia mradi sina Na hata ulisema mkopeshe mtu pesa mtaishia kugombana.

Kwa hiyo pesa zangu ambazo nimesave naziwekeza huku kama investor nakuwa kama vile nimenunua shares ambazo zitamature ndani ya muda Fulani.Kwahiyo nakuwa ufugaji unafanywa wa kuku unafanywa kwa niaba yangu.

Ni kama kununua shares kwenye kampuni la Coca Cola au Vodacom, wakutumia pesa yako kuendesha biashara mwishoni mwa muda Fulani aidha mwaka miezi sita au Tisa ukalipwa profits in form of dividends.

Mimi binafsi nakusanya pesa zangu naenda kuziweka huko.

By the way kama kuna mtu amesikia kuna crowd farming nyingine mbali na Mr kuku, please anijulishe.

Risks
Ofcoz just like any other business, kuna risks za kuconsider kabla hujaweka pesa yako huku kwenye hii miradi. It's your job to determine whether you can accept the risks or not. Kitalaam inaitwa Risk appetite. Is your risk appetite high or low; mfano Mimi am willing to risk 5 million, mwingine na risk 7million etc.

Mr kuku farms hii concept yeye ndo kaintroduce Tanzania kwa sasa hivi bado hajapata competition yoyote, naona kuna huyu jamaa mwingine anaitwa Weku enterprises.

Mwaka juzi kama sikosei kuna Tender mmoja ilitangazwa na US Embassy au International school of Tanganyika walikua wanataka supplier mkubwa wa kuku at least 1000 per month na hawataki excuses, sio unaanza mwezi huu mara mwezi ujao unaanza kuleta sababu mara sijui mtaji umekata nk.

Kwa kutumia crowd farming Mr kuku anaweza supply US embassy.

Pia kuna huyu jamaa wa South Africa anasema unanunua ngombe na kumuhudumia mpaka anakua hadi kummuuza for a profit...livestock wealth.com

Kwa hiyo jamani ndugu zangu tusipende kuhukumu vitu bila kufanya research. Tusipende kujibu kwa mihemko kwa sababu tu uliwahi poteza fedha zako sijui ukaliwa pesa zako.

TUJIFUNZE KUSOMA NA KUFATILIA VITU KIUNDANI KABLA HATUJA KATISHA TAMAA WATU. TUKIENDELEA HIVI KILA SIKU TUTABAKI NYUMA SIKU ZOTE.
Wewe jamaa una akili sana, pia kuna hawa yamaa wanajmiita JATU Wapo pale jengo la ppf samora posta,wanatumia model hio, wamewekeza kwenye kilimo cha mahindi, alizeti, punga, maharage,machungwa, na parachichi
 
Unatatizo kwenye Ombwe yako wewe.

Tariq ni mfanya Biashara (Founder)

Mrkuku ni kampuni

Najadili masuala ya Biashara mtu asiye jua Cocept ndogo za Biashara.
Hujielewi wewe dogo
Endelea kuangalia tom and jerry hapo kwa shemeji
 
Mkuu tusameane basi sikujua kuhoji ni makosa, nitakuwa kondoo mtukufu mfano wako.
Toka niingie jamiiforum sijawah ona mtu mgumu kuelewa kama wewe na dogo umomi nahisi ni mtu mmoja

Endelea kuangalia tom and jerry hapo kwa shemeji
 
La kujifunza kubwa ni kwamba biashara zina taratibu zake. Tujifunze kujifunza kuhusu nini cha kufanya na nini ukifanya utaingia kwenye matatizo na namna ya kuepuka. In theory alichofanya Mr Kuku ni cha kawaida, biashara zote ndivyo zilivyo. Wekeza upate faida, mwekezaji anaweza akawa mmoja au wengi. Issue hapa ni kwamba, kuna utaratibu wa kufanya aina hii ya biashara; angeufuata kama walivyofanya UTT na wengine. Huwezi tu kukusanya hela za wananchi, unadai unawekeza. Kampuni yako ina usajili? Ina utaalamu? Inafanyiwa ukaguzi? Risk zimefanyiwa analysis? Hizo faida unazopromise zimefanyiwa analysis vipi?

Tukumbuke watu wangeliwa, lawama zingerudi kwa serikali kuuliza kwa nini hawakuchukua hatua mapema. All in all, hii ni aina nyingine ya DECI ila imevaa joho la "uwekezaji wa kuku". Ninaamini vitabu vyake vikifanyiwa uchambuzi, hawezi kutoboa.
Mpaka kaingia kwenye matatizo alishaanza kushindwa kulipa watu faida. Mradi ulishaanza kusua sua. Msg hajibu alitegemea watu wakae kimya kuhusu hela zao. Watu washawekeza wanategemea baada ya mieizi sita kulipwa utawaambia nini wakati hukuwaeleza uhalisia wa mradi na risk iliyopo.

Challenge gani zikitokea mtu hataweza kulipwa mpaka hapo faida itakapopatikana ambayo inaweza kupitiliza ile miezi sita aliyoahidi. Kwasababu hata hayo makampuni kama hayajatengeneza faida, mwekezaji hutalipwa sasa yeye hakuwaambia the other side of the story alikua anapeleka mambo kienyeji enyeji.
 
Back
Top Bottom