Wajasiriliamali wa Tanzania tuna lipi la kujifunza kutokana na makosa ya kiufundi / kitaalam ya Mr. Kuku?

"Adam Ngamange" wa kijani kibichi?
Huyohuyo Ni Mwalimu mzuri Sana. Naona siku hizi kajiongeza kawageuza Watanzania wavivu wa fikra kuwa asset yake
 
Well said Chief
 
Usha sikiliza clip ya Jamaaa Mr Kuku mwenye akilalamika watu walienda kushitaki na account zake zika blockiwa kwa maelezo yake.
Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani!🤣🤣🤣
 
Laiti Mr.Kuku angejua mapema kinachoenda kutokea angeuza mradi kwa tajiri tu kama MO! Kisha angebakia kuwa kama Manager wa mradi tu huku akilipwa vizuri sana maana vision na mission yote ya mradi anayo.

Yani angelipa hela alizochukua kwa watu hata bila faida yeyote akiwaahidi kuwa atasimamisha operations kwa muda then ataitisha mitaji upya.

MO angesimamia ishu nzima na kumpa kiinua mgongo chake hata ikiwa 1B ingemtosha jamaa kabisa. Mradi unauzwa ukiwa na thamani ya 4B kwa 7B! Mo sio chizi aone mradi wa kupiga hela chap chap miundo mbinu ipo wateja wapo aache kutia 7B ambayo ni hela ndogo sana kwa level aliyopo. Kwa Wawekezaji wanaodai wanalipwa stahiki zao hata kama ata calculate kila mtu apate 10% ya alichoweka badala ya 70-100% kisha ana exit
 
Mnamtea mno , mwaka jana kulikiwa na Korona? tangu mwaka jana huko alisha anza kuzingua mbaya sasa korona ya mwezi wa 3 mwaka huu inahusika vipi hapa? Acheni kutetea ujinga na wizi na ulaghai na uchokoraa
Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mnamtea mno , mwaka jana kulikiwa na Korona? tangu mwaka jana huko alisha anza kuzingua mbaya sasa korona ya mwezi wa 3 mwaka huu inahusika vipi hapa? Acheni kutetea ujinga na wizi na ulaghai na uchokoraa
sawa mjuba!
 
Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani!🤣🤣🤣
Ok...
 
Asee ninamradi nahitaji finance kidogo ya namna iyo. Anybody interested anichek DM.
 
METL sio ya MO...msimpe sifa za kijinga
 
Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing?mbona bado wapo?
Wale wanafanya baishara ya upatu?
Namaanisha kukusanya mitaji pesa ya watu na kuahidi watarudisha na faida(pengine isiyo na uhalisia kupatikana)?

Wale wanaukuuzia bidhaa na kukushawishi ukawauzie wenzio au ukawaunganishe wenzio na utapata gawio kutokana na faida itokanayo na bidhaa walizo nunua. Hawa hawachukui pesa yako bali wanakuuzia kitu halali.
 
Fuatilia wale Qnet uone mfumo wao ni upatu kabisa.
Unawapa pesa kwa kuahidiwa utapata nyingi zaidi badae lakini hakuna kinachozalishwa.
 
Fuatilia wale Qnet uone mfumo wao ni upatu kabisa.
Unawapa pesa kwa kuahidiwa utapata nyingi zaidi badae lakini hakuna kinachozalishwa.
Kwenye post yako niliyokunukuu umewataja Forever... hao nilidhani unawasemea Forever Living, hukuwataja hao Q-Net.
Q-net ni upatu sababu wanakusanya pesa ya watu kimtindo, sasa kama wapo sokoni basi watakuwa wamesajiriwa kisheria na wamekaguliwa imethibitika fedha za wachangiaji zitakuwa salama.
Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing?mbona bado wapo?
Hapo hauja wataja Q-Net, na pia kuna thread humu hao Q-net uliowataja post yako uliyonijibu walifuatiliwa na vyombo vya kusimamia sheria husika.
 
Nilitumia forever kwa vile ndio maarufu.
Nashukuru kama umenielewa sasa.
Sasa ukifuatilia kiundani hao qnet,forever,aim global wote mfumo wao ni wa upatu wanachobadilisha ni aina ya products tu.
Haya na kama unasema hao qnet walifuatiliwa mbona bado wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…