Heci
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 3,591
- 6,114
Huyohuyo Ni Mwalimu mzuri Sana. Naona siku hizi kajiongeza kawageuza Watanzania wavivu wa fikra kuwa asset yake"Adam Ngamange" wa kijani kibichi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyohuyo Ni Mwalimu mzuri Sana. Naona siku hizi kajiongeza kawageuza Watanzania wavivu wa fikra kuwa asset yake"Adam Ngamange" wa kijani kibichi?
Anazingua tu Kama kawaida yakeWe nae hujielewi ...maneno yote hayo ila kasema hajawah soma huko 😁
Well said ChiefNajua wengi wanapingana na hayo maelezo ya Bujibuji ila tu hatuna muda wa kuandika. Kesi aliyofunguliwa Mr. Kuku ni kesi kabisa ya uhujumu uchumi simply kwa kuwa alikuwa anakusanya mitaji bila kuwa na kibali cha kufanya hivyo. Hamna tofauti na DECI. Ameongelea Crowd Farming lakini kwa nchi za wenzetu kuna sheria kabisa ya crowd farming na taratibu za kufuata zimewekwa ikiwa ni pamoja na kuwa na kibali toka Central Bank za nchi husika. Alichokuwa anakifanya Mr. Kuku si sahihi
Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani!🤣🤣🤣Usha sikiliza clip ya Jamaaa Mr Kuku mwenye akilalamika watu walienda kushitaki na account zake zika blockiwa kwa maelezo yake.
Laiti Mr.Kuku angejua mapema kinachoenda kutokea angeuza mradi kwa tajiri tu kama MO! Kisha angebakia kuwa kama Manager wa mradi tu huku akilipwa vizuri sana maana vision na mission yote ya mradi anayo.Hawa matajiri wenyewe wanaishi kwa mikopo, mfano Mo nilisikia anamiliki mashamba ambayo ameshindwa kuyaendeleza mpaka serikali ikampokonya mamia yahekari
Yeye nimfanya biashara mkubwa nikimanisha swala lauongozi wa biashara au kampuni kubwa haliwezi kua nitatzo kwake nawengi tunaotafuta kuweza kwenye fursa zaaina hio nisisi wenye uwezo wa vilaki sio millions ambapo kama muwekezaji atakua ni Mo nasio Mr kuku nnauhakika zingepatikana billion zaid ya hizo 17, billion zaid ya 17 nimtaji mkubwa sana kwa mtu yoyote hatakama nitajir.
Hainiingii akilini nivipi hawa matajiri tulionao hawataki kuitumia hio fursa
Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani![emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawa mjuba!Mnamtea mno , mwaka jana kulikiwa na Korona? tangu mwaka jana huko alisha anza kuzingua mbaya sasa korona ya mwezi wa 3 mwaka huu inahusika vipi hapa? Acheni kutetea ujinga na wizi na ulaghai na uchokoraa
Ok...Kushtakiwa haikuanza hivi hivi, biashara ilipokumbwa na mtikisiko wa "Corona" alishindwa kufanya marejesho kwa baadhi ya raia ila pia response yake haikuwa ya kiungwana. Hapo ndipo wajumbe walimfanyia namna flani!🤣🤣🤣
Asee ninamradi nahitaji finance kidogo ya namna iyo. Anybody interested anichek DM.Crowd Farming sio hiyo anayo eleza Bujibuji, crowd Farming ni kwamba wewe una either shamba au Una Mabanda ya kufugia kuku ila huna pesa ya vifaranga, huna pesa ya Dawa, huna pesa ya Chakula.
Anakuja mwekezaji anawekeza kwenye hizo zotena mwisho wa siku mkiuza kuku mnagawana kulingana na makubaliano yenu au Wanaweza kuwa ni wawekezaji zaidi ya mmoja au wewe una mabanda ya kuku, yupo atakae nunua Vifaranga, yupo ataka finance Chakula, yupo atake finance kulipa wafanya kazi, hiyo ndo crowd Farming ingawa nayo ina scam za kufa mtu huko huko Nigeria
METL sio ya MO...msimpe sifa za kijingaLaiti Mr.Kuku angejua mapema kinachoenda kutokea angeuza mradi kwa tajiri tu kama MO! Kisha angebakia kuwa kama Manager wa mradi tu huku akilipwa vizuri sana maana vision na mission yote ya mradi anayo.
Yani angelipa hela alizochukua kwa watu hata bila faida yeyote akiwaahidi kuwa atasimamisha operations kwa muda then ataitisha mitaji upya.
MO angesimamia ishu nzima na kumpa kiinua mgongo chake hata ikiwa 1B ingemtosha jamaa kabisa. Mradi unauzwa ukiwa na thamani ya 4B kwa 7B! Mo sio chizi aone mradi wa kupiga hela chap chap miundo mbinu ipo wateja wapo aache kutia 7B ambayo ni hela ndogo sana kwa level aliyopo. Kwa Wawekezaji wanaodai wanalipwa stahiki zao hata kama ata calculate kila mtu apate 10% ya alichoweka badala ya 70-100% kisha ana exit
Wapi ameitaja METL?METL sio ya MO...msimpe sifa za kijinga
MO anajulikana na kampuni gani?Wapi ameitaja METL?
Wale wanafanya baishara ya upatu?Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing?mbona bado wapo?
Nijibu nilichokuuliza kwanza, halafu nitakujibu swali lako.MO anajulikana na kampuni gani?
Wale wanafanya baishara ya upatu?
Namaanisha kukusanya mitaji pesa ya watu na kuahidi watarudisha na faida(pengine isiyo na uhalisia kupatikana)?
Wale wanaukuuzia bidhaa na kukushawishi ukawauzie wenzio au ukawaunganishe wenzio na utapata gawio kutokana na faida itokanayo na bidhaa walizo nunua. Hawa hawachukui pesa yako bali wanakuuzia kitu halali.
Kwenye post yako niliyokunukuu umewataja Forever... hao nilidhani unawasemea Forever Living, hukuwataja hao Q-Net.Fuatilia wale Qnet uone mfumo wao ni upatu kabisa.
Unawapa pesa kwa kuahidiwa utapata nyingi zaidi badae lakini hakuna kinachozalishwa.
Hapo hauja wataja Q-Net, na pia kuna thread humu hao Q-net uliowataja post yako uliyonijibu walifuatiliwa na vyombo vya kusimamia sheria husika.Mkuu na vipi wale jamaa wa forever na aim global wale wana vibali vyote vya kuendesha ile biashara ya network marketing?mbona bado wapo?
Kwenye post yako niliyokunukuu umewataja Forever... hao nilidhani unawasemea Forever Living, hukuwataja hao Q-Net.
Q-net ni upatu sababu wanakusanya pesa ya watu kimtindo, sasa kama wapo sokoni basi watakuwa wamesajiriwa kisheria na wamekaguliwa imethibitika fedha za wachangiaji zitakuwa salama.
Hapo hauja wataja Q-Net, na pia kuna thread humu hao Q-net uliowataja post yako uliyonijibu walifuatiliwa na vyombo vya kusimamia sheria husika.