Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Nimetafakari sana kwa uchungu baada ya kuona picha kwenye mtandao kuhusu mtoto aliyefukiwa mara baada ya kuzaliwa ikiwa ni lengo la kumuua kama ilivyokawaida kwa wajawazito kuua watoto wao wachanga mara baada ya kujifungua kwa visingizio mbali mbali kama vile kukimbiwa na wapenzi wao au waopenzi wao kukataa mimba zao na ugumu wa maisha.
Ili kupunguza mauaji haya nadhani ifikie uamuzi kwamba kila mjamzito atakaye hudhuria kliniki pamoja na kupima vipimo vingine pia achukuliwe vipimo vya DNA ili kuweza kutumika pindi kichanga kitakaco okotwa serikali iweze kutambua ni mama yupi anahusika. Ni wazo langu lakini pia inawezekana katika threads zilizopita wachangiaji walishatoa wazo kama hili naomba isieleweke kuwa nimeiba haki ya mchangiaji wa kwanza ambaye inawezekana alishatoa wazo kama hili. Pichani ni kitoto kilichofukiwa kikiwa hai na wasamaria wema walikigundua wakakifukua kikiwa hai. Nimeikuta katika mtandao wa jumamtanda blog, sijafanikiwa kujua ni wapi tukio hili lilitokea.