1. kuhusu kadi wandugu msitegemee kwamba mtapata zile ngumu maana siku hizi walileta vitabu na vitabu imekuwa shida sana kuvipata na gharama kubwa sana kuvitengeneza. manesi na kliniki wanajiongeza kwa kuwapa zile kopi kutengeneza kitabu ni zaidi ya 10000tsh.
2. ghrama za kliniki lazima tu zitalipiwa serikalini utakuta wanapewa vipimo vya malaria na HIV.vipimo vingine(hb,blood grouping,urinalysis) kituo kinanunua sasa ni lazima kitoze hela hili mwingine akija asikose .
3.wandugu hakuna cha bure.ukiamua kuzalisha ujipange kwa huduma