Waje: Collable ya "Do Me" ilinisikitisha sana P-Square walivyonipuuzia

Lumbi9

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Posts
8,666
Reaction score
12,178
Msanii Waje ameeleza jinsi alivyosikitishwa baada ya p-square kuacha kumtaja ktk nyimbo ya 'do me' ambayo ilifanya vizuri afrika nzima.Aliongea hayo ktk mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni.

Waje alisema,"ukweli ni kwamba nilijisikia vibaya sana, nilikuwa underground, ningetokea kwenye video ile pengine ningetoka mapema.

Nashukuru Mungu baada ya miaka mingi nimefanya mwenyewe na kutoka." Waje aliongeza kwa kusema,"P-Square hawakunichukua walipoenda kushoot video Afrika Kusini na sikujua kwanini walifanya hivyo." alihitimisha.
 
Aisee, kumbe yule mdada ni Waje? Nilikua sijui na alifanya poa sana.
Wale p2 hua wanapenda kubania wenzao sana.
 
Aisee, kumbe yule mdada ni Waje? Nilikua sijui na alifanya poa sana.
Wale p2 hua wanapenda kubania wenzao sana.

mi mwenyewe ndo nimejua baada ya kupata habari hii, alifanya poa kwakweli ila ndo hivyo tena
 
Aisee, kumbe yule mdada ni Waje? Nilikua sijui na alifanya poa sana.
Wale p2 hua wanapenda kubania wenzao sana.

Duuh...hata mie(in jk's voice) nilikuwa sijui..kweli huyu Dada anajua nakirudiaga kipande chake kila ninapoisikiliza!!
 
hawakumtendea haki, labda waliona hana mvuto, same thing kilitokea hapa bongo kwa Mr. Blue enzi hizo yuko on top, alimshirikisha Enika kwenye wimbo wake 'Nikisskiss' but kwenye video hakumwita akamuweka dem mwingine kisa eti Enika hana mvuto!
 
Kumbe ile sauti ni ya Waje, alifanya poa sana.
 
Labda hakuwa tayari na hakuimiza kwao kujionyesha au kuongea maongezi yaliyoendana na walipokuwa yupo tayari wakati uleeeeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…