Lumbi9
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 8,666
- 12,178
Msanii Waje ameeleza jinsi alivyosikitishwa baada ya p-square kuacha kumtaja ktk nyimbo ya 'do me' ambayo ilifanya vizuri afrika nzima.Aliongea hayo ktk mahojiano aliyoyafanya hivi karibuni.
Waje alisema,"ukweli ni kwamba nilijisikia vibaya sana, nilikuwa underground, ningetokea kwenye video ile pengine ningetoka mapema.
Nashukuru Mungu baada ya miaka mingi nimefanya mwenyewe na kutoka." Waje aliongeza kwa kusema,"P-Square hawakunichukua walipoenda kushoot video Afrika Kusini na sikujua kwanini walifanya hivyo." alihitimisha.