Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.

Naombeni msaada ni waharaka
Ndugu yangu umeandika hitimisho bila kusema tatizo. Huenda una ugonjwa ambao hautokani na kuingiwa na jini.

Mengi ya magonjwa yanayoitwa kingiwa na jini, pepo, mashetani hufahamika kama magonjwa ya wasiwasi.

Ninayo tiba yake lkn si ya kwenda kwa shekhe au mchungaji.
 
Back
Top Bottom