Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

Wajemeni natafuta shekhe anayejua kutoa majini

Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.

Naombeni msaada ni waharaka
Hakuna binadamu yeyote anayeweza kutoa majini si mashaikh wala wachungaji anayetoa majini ni Allah (the exalted one) pekee ruqya si dhamana ya jini kutoka kama hajapenda muumba.

Na kwanini usijiombee mwenyewe hadi utafute mtu akuombee yeye ana nini cha ziada kukuzidi ?

Ushauri
Kama wewe ni muislamu anza kusali sala za usiku (tahajud) ongea na Muumba wako muelezee shida zako huku ukiwa na yaqini kwamba atakutimizia ulilomuomba THAT EASY.
 
Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.

Naombeni msaada ni waharaka
Hao jamaa hakuna anayejiheshimu kwa dhati hata mmoja, wengi wao ni waganga wa kienyeji na washirikina wakubwa. Nashangaa sana mtu yeyote anayewakimbilia!
 
Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.

Naombeni msaada ni waharaka
Shekhe atafukuza jini kwa kukupa jini mkubwa zaidi ili awafukuze majini fukukara.
Ywsu ndiye kiboko ya majini yote
 
Tafuta kanisa la waadvensta wasabato wanajua sana kujadiliana na hayo majitu
 
Mimi nipo Moshi natafuta shekhe anayejua kutoa majini sifa yake awe mtu mzima makamu anayejiheshimu kabisa na anayejua kazi yake.

Naombeni msaada ni waharaka

Ngoja nikupe story yangu kidogo!

Mimi tangu naanza kujitambua nilikua naota ndoto za kweli yaan ndoto ambayo kesho yake naiona!
Pia kuna wakati nilikua nikilala nahisi nyuma yangu kuna mtu kalala!
Kubwa kuliko kuna wakati nilikua naota nalala na babaangu mzazi yaan kama mahaba hivi picha haieleweki
Pia mi ni muislam nilikua nikianza kuswali tu nableed lakini pia nahisi kuna mtu nyuma yangu naogopa najikuta nafungua sala!
Nimeendelea na hiyo hali hadi ukubwan yaan sekondar
Hali ya kuota nalala na babaangu nadhani ilipungua ila nikawa naota nafanya mapenzi na watu wakat mwingine wasanii mfano kipindi kile my african queen ilivyotoka ilikua inavuma nikiota nafanya mapenz na yule kijana aliyeimba!

Niliolewa nikazaa baadae tukaachana na mume wangu siku moja nikapata mtu akanielekeza shekhe mmoja yupo dar

Nikaenda akanisomea sana dua hiyo siku na akaniambia niondoke yeye ataendelea na dua hata nikiwa sipo
Baada ya wiki kadhaa au mwezi siku hiyo nimelala najichezea tu kuna hali fulan niliisikia hapa utosini kwakwel siwez kuelezea niliona kama kuna kitu kizito kimetoka na kimeacha shimo! Sikujua ni nini mi nakadhan tu ni haya madude

Lakini tangu siku hiyo sijawahi kuota tena nafanya mapenzi
Ila jana usiku niliota nafanya mapenz na simba lakini sijui pia aligeuka kuwa mtu yaan ndoto hata haielewek lakini nilienjoy na ukwel nilikua na ny** sana kwasabu nina mwezi sijafanya!

Ila sasa yule shekhe yusuph wa dar ana bei balaa kuanzia laki tano kwenda juu mie ndiyo nilimshindiwa hapo!
 
Back
Top Bottom