Asante inawezeka ni hivyo,ngoja tumsubiriKwa uwelewa mdogo hii dunia amepewa mamlaka kamili malaika muasi lakini mamlaka kuu ni ya Muumba kila kitu,huwezi kuwa kwenye mamlaka ya mtu,kiumbe halafu usitumie au kumiliki sehemu ya milki yake kwa maandiko hapo juu yaliyotolewa mfano sioni kama ni kosa ukibahatika kumiliki kosa linaweza kuja unapomiliki kwa nia ovu baada ya kupata ile sadaka...Inawezekana tusubiri mjuzi zaidi atakuja kufafanua.
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Itakuwa umefanya jambo la maana sana,jitahidiNikitulia nitakuja kueleza namna tulivyowahi kuchimba hazina ya Mjerumani, tulivyotoa mali na namna tulivyofika sokoni.
Mkuu usisahau kuni tagNikitulia nitakuja kueleza namna tulivyowahi kuchimba hazina ya Mjerumani, tulivyotoa mali na namna tulivyofika sokoni.
Yees upo sahihi na pia utapeli unaweza tokea hata kwa anaesema anahii item pia ni umakini na kuwa na taarifa sahihi ya atakacho kwambia anacho.Ntakutafuta nikipata kuchukua hivi vifaa utapeli mwingi sana katika kupata mtu anaevihitaji hasa kutoa sadaka.
Sent from my Infinix X573S using JamiiForums mobile app
Asante kwa maelezo mazuri,na inashangaza kusikia kwamba vitu hivi vilitengenezwa na mapepo,sasa kama vitu hivi vinamilikiwa na malaika muasi na mapepo ndio yametengeneza,kwa mtu wa kawaida akipata au kumiliki Je Hamkosei Mun
Ushauri wangu tu kwako ni heri ukaaendelea na hicho unachofanya maana ni njia ya mkato na rahisi kwenye maisha kuliko kitu cha mjerumani na huwezi kutana na hivi vitu kirahisi na wengi wasemao ni kusadikika ukikutana nao ni walevi,wazinzi ,utapeli umo ndani yake nk....kama una tabia chafuchafu huwezi fit upande wa MalikaleHizi vitu Ni za kusadikika na mwaka huu nimeona watu wanalizwa wanasema mara wanatafuta pasi ya mjerumani mara poda nyeusi mara sjui Mercury huu Ni upuuzi hakuna shortcut kwenye maisha Bora muanze kupunga mashetani muwe waganga wa kienyeji
Na wote wanaoongea hizi habari wanaongea habari za kusadikika tu
UTASIKIA jamaa fulani why not you ACHENI TAMAA
Sent from my Infinix X624 using JamiiForumsshauri
Peleka huko kwahiyo we umefanikiwa acheni tamaa Bora uuze mkaa utafute mtaji wako acheni tamaa we ulipatikana baada ya mtu mmoja kumzini mwenzake heshimu hicho KITENDO usikute hata hapo ulipo ulizini usikuUshauri wangu tu kwako ni heri ukaaendelea na hicho unachofanya maana ni njia ya mkato na rahisi kwenye maisha kuliko kitu cha mjerumani na huwezi kutana na hivi vitu kirahisi na wengi wasemao ni kusadikika ukikutana nao ni walevi,wazinzi ,utapeli umo ndani yake nk....kama una tabia chafuchafu huwezi fit upande wa Malikale
πππππPeleka huko kwahiyo we umefanikiwa acheni tamaa Bora uuze mkaa utafute mtaji wako acheni tamaa we ulipatikana baada ya mtu mmoja kumzini mwenzake heshimu hicho KITENDO usikute hata hapo ulipo ulizini usiku
Acha tamaa Nani aache mali chini Tena kwa kwa kufukia chini wao wajerumani wajinga au? Acha tamaa utakua mchawi wewe laatullah
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Unatishia uhasibu mi Ni mkulima tuna usivunje moyo wengine kwa kukwama kwako wewe pekee....
nafanya haya wakati huo ni Mhasibu wa taasisi 3 Tz kwa hiyo najielewa sana na hata niliyokuwa najibu tangu kuanza nilipoanzia najua pia umepata elimu Mpya hukuwahi jua wala kuelewa...zaidi ya stori za vijiweni
Hakuna Mwenye akili ndani ya field hii aneweza kujiexpose kwako eti akuaminishe na akishafanya kwako then....?!ALOFANIKIWA KUPITIA MALI KALE NANI AWEKE NA USHAHIDI IPO MILIONI 5 NATOA ANI PM
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
sipo kwa kukutishia ndivyo nilivyo na Kilimo nafanya pia Moro,Iringa na Tanga.Unatishia uhasibu mi Ni mkulima tu
Fanya kazi sikukatishi tamaa
mseme ALOFANIKIWA awe MFANO wetu kinyume chake Ni uongo FANYENI KAZI
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile a
Ndugu zangu wanajamvi.
Nimekuwa katika utafiti wa mali kale na mambo ya asili kwa muda mrefu.
Katika utafiti wangu nimekuja kugundua wajerumani wameficha mali nyingi sana kawenye ardhi ya Tanzania.
Wakati wa utawala wa wajerumani kulikuwa na fedha ambazo zilikuwa zikitumiaka.
Heller na Rupee zilikuwa zikitumiaka. Coin hizo zilikuwa na madini mengi sana tofauti na coin za sasa.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.
View attachment 1022276
Kwenye vita vya kwanza vya dunia wajerumani walizichimbia hizo mali sehemu mbalimbali kwenye ardhi ya Tanzania kwa ustadi mkubwa.
nikuulize na mimi ni coin ipi unayoiongelea Mkuu?Mkuu naomba nikuulize tu maswali machache kama hii siyo mastory tu.
1. Ni madini gani yaliyotengeneza hizi coin mpaka eti coin iuzwe kati ya dollar 800-900 yani hapo unazungumzia zaidi ya milion mbili. Hizo coin kama siyo dhahabu na hata ingekuwa dhahabu sidhani kama uzito wako ungefika milion mbili.
2. Pia madini yaliyotengeneza Coin hayawezi kwua na thamani zaidi ya Coin yenyewe kwasababu ndiyo kanuni ya fedha. Ukifanya madini yaliyotengeneza pesa yakawa na thamani kuliko pesa yenyewe badala watu kuitumia wataigeuza madini ili waiuze wapate pesa zaidi.
Kwa mfano 1 Heller kwa sasa inauzwa kwa $900 - $1000.nikuulize na mimi ni coin ipi unayoiongelea Mkuu?
Mbona we umeji expose?Hakuna Mwenye akili ndani ya field hii aneweza kujiexpose kwako eti akuaminishe na akishafanya kwako then....?!
π π π π Mimi nipo kuzungumzia maswala Halisi lakini ninahakika Haujajua Mpaka saa hii kama nimefanikiwa au Laaa... kwahiyo bado sijajiexpose ....