Tetesi: Wajipanga kuitetea Acacia Mining Bunge la bajeti

Akikosa mchumia tumbo maarufu mbaya wake na Afande Sele naacha kunywa viroba!
 
Huu uzi ni wa kipuuzi kabisa. Nimefanya kazi na makampuni mengi makubwa ya madini ya nje yaliyopo hapa Tanzania na nje ya Tanzania, hakuna kampuni ya kufanya ujinga wa namna hiyo.

Yaani Acacia itoe $50,000 kwa kila mbunge kwa sababu gani? Sheria inawapa haki Acacia kwa vile hawajakiuka mkataba wa uwekezaji. Kinachoitwa mchanga, analyses zake ni za uhakika, na kwa 100% hizo kamati zilizoundwa hazitaona udanganyifu wowote zaidi ya kupoteza rasilimali na muda, halafu Acacia wakatoe $50,000. Lazima uwe na akili ya ajabu kushawishika na hii hadithi.

Nina imani wapo wabunge na hata baadhi ya watendaji serikalini na viongozi wanaotambua ukweli juu ya concentrates za Acacia ambao wanaweza kueleza ukweli bila woga, na wakawaelewesha wengi ambao hawajui chochote kuhusu biashara ya concentrates. Hilo siyo kosa.
 
Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu dhidi ya serikali.

Wabunge hao 6 wa CCM na 4 wa upinzani wamepewa kila mmoja dola za Marekani elfu hamsini ($50,000) sawa na zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 110 kama "consultancy fee" ili wawe watetezi wa Acacia Bungeni.

Kazi kubwa ya wabunge hao ni kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa hatua madhubuti inayochukua kukabiliana na ukwepaji wa kodi mkubwa wa makampuni ya madini kwa kuzuia kontena zaidi ya 300 za mchanga wa dhahabu za Acacia zisiuzwe nje ya nchi mpaka uchunguzi utakapokamilika.

Wabunge hao watakuja na vitisho kuwa serikali inaweza kushitakiwa kwa kuzuia kontena hizo za Acacia zisiuzwe nje ya nchi na kuwa inaweza kukosa uwekezaji wa nje kwa kunyanyasa wawekezaji wa nje.

Baadhi ya wabunge waliopewa hiyo shilingi 110 kila mmoja ni wa vyama vya upinzani ambao walikuwa mahiri miaka ya nyuma kulaani wizi mkubwa unaofanywa na kampuni za madini kupitia mikataba mibovu lakini leo hii wamepewa mlungula watetee mikataba hiyo hiyo mibovu iheshimiwe.

Wabunge hao wameagizwa na tajiri wao (Acacia Mining) waanze kuishambulia serikali kupitia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliyowasilishwa leo Bungeni na kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.
I do like ferry stories
 
Mtoa tetesi naye akili maji kama uvungu wa daraja la kigamboni kaka ccm 6 cdm 4 mbona wakimbulia kulaumu cdm kwani hao wa ccm ni mavi
 
asante kwa taarifa mkuu. sisi tunawasubiri ili kuwa expose hao vibaraka kwrnye jf. hamna shaka wapiga kura watawajua na njama zao hazitafanikiwa.
 
No research no right to speak, wacha umbea hao acacia wakahangaike kulipa hela wakati wanajua
mchanga hauna hicho kinachopigiwa kelele
 
Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu dhidi ya serikali.

Wabunge hao 6 wa CCM na 4 wa upinzani wamepewa kila mmoja dola za Marekani elfu hamsini ($50,000) sawa na zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 110 kama "consultancy fee" ili wawe watetezi wa Acacia Bungeni.

Kazi kubwa ya wabunge hao ni kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa hatua madhubuti inayochukua kukabiliana na ukwepaji wa kodi mkubwa wa makampuni ya madini kwa kuzuia kontena zaidi ya 300 za mchanga wa dhahabu za Acacia zisiuzwe nje ya nchi mpaka uchunguzi utakapokamilika.

Wabunge hao watakuja na vitisho kuwa serikali inaweza kushitakiwa kwa kuzuia kontena hizo za Acacia zisiuzwe nje ya nchi na kuwa inaweza kukosa uwekezaji wa nje kwa kunyanyasa wawekezaji wa nje.

Baadhi ya wabunge waliopewa hiyo shilingi 110 kila mmoja ni wa vyama vya upinzani ambao walikuwa mahiri miaka ya nyuma kulaani wizi mkubwa unaofanywa na kampuni za madini kupitia mikataba mibovu lakini leo hii wamepewa mlungula watetee mikataba hiyo hiyo mibovu iheshimiwe.

Wabunge hao wameagizwa na tajiri wao (Acacia Mining) waanze kuishambulia serikali kupitia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliyowasilishwa leo Bungeni na kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.
TAKUKURU ina taarifa,kama bado na majina ya wabunge husika unayo what are you waiting for ?Hili swala la madini ni sensitive na lina maslahi mapana kwa taifa letu,hamna haja kuingiza siasa!
 
Habari za ndani kutoka hapa Dodoma ni kuwa kuna kundi la wabunge wapatao 10 wamewekwa sawa na mwekezaji wa nje, Acacia Mining Plc, ili waitetee kampuni hiyo kwenye sakata la mchanga wa dhahabu dhidi ya serikali.

Wabunge hao 6 wa CCM na 4 wa upinzani wamepewa kila mmoja dola za Marekani elfu hamsini ($50,000) sawa na zaidi ya shilingi za Tanzania milioni 110 kama "consultancy fee" ili wawe watetezi wa Acacia Bungeni.

Kazi kubwa ya wabunge hao ni kuilaumu serikali ya Rais John Magufuli kwa hatua madhubuti inayochukua kukabiliana na ukwepaji wa kodi mkubwa wa makampuni ya madini kwa kuzuia kontena zaidi ya 300 za mchanga wa dhahabu za Acacia zisiuzwe nje ya nchi mpaka uchunguzi utakapokamilika.

Wabunge hao watakuja na vitisho kuwa serikali inaweza kushitakiwa kwa kuzuia kontena hizo za Acacia zisiuzwe nje ya nchi na kuwa inaweza kukosa uwekezaji wa nje kwa kunyanyasa wawekezaji wa nje.

Baadhi ya wabunge waliopewa hiyo shilingi 110 kila mmoja ni wa vyama vya upinzani ambao walikuwa mahiri miaka ya nyuma kulaani wizi mkubwa unaofanywa na kampuni za madini kupitia mikataba mibovu lakini leo hii wamepewa mlungula watetee mikataba hiyo hiyo mibovu iheshimiwe.

Wabunge hao wameagizwa na tajiri wao (Acacia Mining) waanze kuishambulia serikali kupitia bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu iliyowasilishwa leo Bungeni na kwenye bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini.
Wala co kuja na vitisho kama mkataba wangu ji wa kimataifa na bado ni valid na ukanifungia lsxm nitakushtaki kwenye mahakama ya kimataifa ivyo vitu vingine haviitaji kutunga kama unavyotueleza hapa. Tumia tu akili kama ndio unapewa kitu kidogo ili uandike upuuzi wako hapa. Waambie wakuongezee dau
 
Nchi yetu iko kwenye kipindi kigumu sana, wasaliti ni wengi na ni wale ambao kila siku tunakula nao huku wakitaka tuwaamini. Nje kondoo ndani ni chui wabaya sana. JPM jitahidi kuwalipa vizuri sana usalama wa taifa ili wazidi kutisaidia nchi yetu make tamaa imewazidi
 
Back
Top Bottom