Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na, Kusikilizwa. Kama vile Watanzania wengine wanavyopaswa kusikilizwa na Serikali yao.Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kama taasisi huru, iko huru kutoa maoni yake yoyote kuhusu jambo lolote, yakiwemo maoni ya kisiasa, kiuchumi na kijamii.
Jamaa yupo nondo sana,Nimekuelewa sana Mzee wa Kwa maslahi ya Taifa na huu ndio ulitakiwa uwe waraka rasmi wa kusomwa kila pembe ya dunia
Kuna kuzungumza vile tunahisi na kuna kuzungumza vile ilivyo....umeandika hisia sana. Hilo ni Bunge la JMT tuombe Bunge liamue kufuta azimio lake lenyewe.Mayala rafiki yangu ni kweli kuna mihimili mitatu, yahani , Sarikali,Bunge na mahakama. Hii kwa tanzania ndiyo lakini inabakia kwenye kitabu cha katiba. Kwenye utendaji tanzania ina muhimili mmoja na vivuli vya mihimili miwili. Namaanisha kuwa tuna muhimili wa Serikali na vivuli vyake yahani Bunge na Mahakama. Naomba ufikilie vzr Muhimili wa Bunge la tanzania unapatikanaje. Wabunge wetu hawaingii bungeni kwa kura za wanajimbo Wanasaidiwa na Serikali kuwa wabunge (wanawekwa) kwa sababu hiyo ndiyo unaona wanafanya kazi moja kati ya tatu za kikatiba. Yaani ,kupitisha miswada ili iwe sheria. Badala ya kutunga sheria.Kuishauli Serikali ili wanalifanya na la kuisimamia seikali alifanyiki kabisa. Naomba nikukumbushe kauli ya rais Magufuli kwa mihimili hii miwili. Naanza na bunge, Ninani ameingia humu kwa kushinda wabunge wote kimya. Mahakama , Mnasema mihimili yote hiko sawa wewe jaji ni nani anatoa pesa , serkali ama bunge?. Ni kauli za Magufuli. Kwetu tanzania rais ndiye kila kitu mayalla naamini unajua ila unajisahaulisha tu
Shangaa nawewe bwana.Sijasoma yote ila niulize tu kwani hawezi kuurudisha Bungeni kwa ajili ya review?
Paskali wewe unafiki hautakuisha Kamwe ktk maandiko yako kwani unatanguliza kusaka fursa kuliko ukweli halisi.Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemtaka Rais Samia kuifuta IGA ya DPW, iliyoridhiwa na Bunge, ili Rais Samia aifute hiyo IGA, ambayo baada ya kuridhiwa ni Azimio la Bunge, inambidi Rais kwanza kulivunja Bunge, ndipo alivunje Azimio la Bunge.
Katiba ni kakitabu kadogo tuu ka ukurasa, lakini kuielewa katiba, kunahitaji uwezo wa ziada, kama ilivyo kuielewa Biblia Takatifu au Quran Tukufu, kila mtu anayejua kusoma na kuandika, anaweza kusoma Biblia na Quran, lakini kuielewa unahitaji kupata ufunuo.
Vivyo hivyo kwa katiba ya JMT, kila mtu yoyote mwenye uwezo wa kusoma na kuandika, anaweza kuisoma katiba ila kuielewa kunahitaji ujaaliwe ufunuo.
Kwa mujibu wa katiba, mamlaka rasmi ya kuitafsiri katiba ni mhimili wa Mahakama Kuu, lakini it's very unfortunately mhimili wa serikali hawaijui katiba ndio maana wanatunga miswada kinyume cha katiba.
Mhimili wa Bunge, nao it's very unfortunately wanatunga sheria batili zinazokwenda kinyume cha katiba, na juzi kati hapa Bunge letu Tukufu, limeridhia IGA ya DPW na Bandari zetu ambayo iko kinyume cha katiba na sheria zetu.
Mhimili wa Mahakama wenye jukumu la kutafsiri katiba na sheria, nao it's very unfortunately hautimizi wajibu wake kikamilifu kwa kubariki uvunjifu wa katiba unaofanywa na mhimili wa serikali na mhimili wa Bunge!.
Mimi ni Mwanafunzi wa sheria wa Prof. Shivji, kiukweli niko very proud kuwa miongoni mwa wanafunzi tulio mwelewa vizuri Prof. Shivji alipokuwa akitufundisha somo la katiba, na ndio maana somo lake, mimi nimejenga kibanda, kwa kupata A, hivyo sasa najihesabu ni mwalimu wa kujitolea wa somo la Ijue Katiba, na nimeendesha mihadhara mbalimbali ya katiba ambayo imesaidia sana Bunge letu na serikali yetu, na sasa naanzisha vipindi vya Televisheni weekly kuelimisha umma kuhusu katiba, sheria na haki ambayo vitausaidia sana mhimili wa Mahakama kutenda haki.
Miongoni mwa wasioijua katiba ya JMT, ni Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, wametoa waraka wa kuipinga DPW, na kumtaka rais Samia asitishe ile IGA ya DPW na Bandari zetu, bila kujua kwa mujibu wa katiba, rais Samia hana uwezo huo!.
Ila hawa Maaskofu Katoliki, ni kiboko!.
Juzi baada ya kuutoa waraka wao, leo asubuhi katika makanisa yote ya Katoliki Tanzania, waraka huo umesomwa kanisani, mimbarini na madhabahuni!.
Baada ya kuusoma waraka wa TEC humu JF, Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu niliuliza Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa? na baada ya kitendo cha kusoma tamko la kisiasa Mimbarini na Madhabahuni, nauliza tena, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Lile tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuipinga DPW na Bandari zetu, leo limesomwa mimbarini na madhabahuni na maparoko wa makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima kwenye kila ibada ya kila misa!.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kama taasisi huru, iko huru kutoa maoni yake yoyote kuhusu jambo lolote, yakiwemo maoni ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, lakini kitendo cha Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kutoa maoni ya kisiasa kuipinga DPW na Bandari zetu, kitendo cha kanisa Katoliki Tanzania kusoma maoni hayo ya kisiasa ya TEC, mimbarini na madhabahuni, sio kuchanganya dini na siasa?.
Madhabahuni na mimbarini ni mahala pa kuabudia, kitendo cha kanisa Katoliki Tanzania, kuusoma waraka huu mimbarini madhabahuni, ni **** kuwaaminisha Wakatoliki kuwa kuipinga DPW na Bandari zetu ni sehemu ya ibada, hivyo Wakatoliki wote sasa wanatakiwa kuipinga DPW. Wale Wakatoliki wanaiunga mkono DPW wakioongozwa na Makamo wetu wa Rais, Dr. Philip Mpango, tunawaweka kwenye hali gani?. Huku sio kuwakwaza Wakatoliki wote tunaounga mkono DPW na Bandari zetu?.
Waraka huo unasisitiza Vox Populi is Vox Dei, kumaanisha sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Tangu issue ya DPW ilipoibuka, kanisa Katoliki limewahi kukusanya maoni ya waumimi wake kuhusu jambo hili, hivyo kufikia hii conclusion kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW?.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki, na toka issue ya DPW iibuke, sijawahi kukosa kanisani hata mara moja, sikumbuki kuwahi kuulizwa maoni yetu kuhusu DPW!, kama kuna Mkatoliki yoyote aliwahi kuombwa maoni yake na kanisa Katoliki, naomba ajitokeze.
Kama kanisa Katoliki halijakusanya maoni ya waumini wake kuhusu DPW, hii hoja ya TEC kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW, wameyatoa wapi?.
Kitendo cha Kanisa Katoliki Tanzania, kukusanya maoni ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania, na kuyageuza ndio maoni ya Watanzania, huku sio kusema uongo?.
Na kitendo cha kuusoma uongo huo wa TEC kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW, na kuusomea mimbarini na madhabahuni, huku sio kumkosea Mungu, kuitumia mimbari yake na madhabahu yake vibaya, badala ya kuitumia mimbari na madhabahu, kwa kuabudia, kanisa Katoliki Tanzania linaitumia mimbari na madhabahu kupigia siasa za uoga za kuipinga DPW kwasababu tuu ni ya Waarabu, hivyo kudhani DPW ikija inakuja kueneza Uislam!, na kwa kuzingatia, hivi tuu DPW bado haijapewa mkataba, imetoa misaada ya kujenga misikiti kadhaa, ikipewa Bandari, kazi ya kwanza si ni itakuwa ni kujenga masjid?.
Bunge letu Tukufu limepitisha Azimio la Bunge kuiridhia IGA ya DPW, hawa Maaskofu wa Katoliki Tanzania, wamemtaka Rais Samia alifute Azimio la Bunge kuridhia IGA ya DPW,
Kumbe maaskofu wetu hawaijui katiba!, hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba yetu, Rais wa JMT hana mamlaka ya kufuta Azimio la Bunge!, ili Rais Samia alifute Azimio la Bunge, inambidi Rais Samia alivunje Bunge!.
Rais wa JMT ni sehemu ya Bunge kwa mambo matatu tuu, 1. Kuliunda Bunge, kuridhia muswada kuwa sheria na kulivunja Bunge.
Kwa upande wa miswada ya sheria, Bunge likitunga sheria, rais anaweza kukataa kuisaini, anatakiwa kurejesha Bungeni kurekebishwa, Bunge likigoma kurekebisha, rais anakuwa hana jinsi bali ni kulivunja Bunge!.
Lakini kwa upande wa Azimio la Bunge, Bunge likiisha pitisha Azimio la Bunge, rais wa JMT hana mamlaka ya kuingilia chochote bali ni kuteleleza tuu Azimio la Bunge, vinginevyo ni alivunje Bunge!.
Hawa Maaskofu wa Katoliki Tanzania sio mchezo!, wanampangia hadi rais wa JMT na kumlazimisha apindue jambo lililoridhiwa na Bunge!.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT halazimiki kufuata ushauri wa yoyote kwenye kufikia maamuzi, isipokuwa katika mambo mawili tuu, ambayo rais wa JMT analazimika kuamrishwa kufuata.
Mambo hayo ni 1.Kuiwasilisha Bungeni ndani ya siku 7, taarifa ya CAG, baada ya kuipokea, na asipoiwasilisha taarifa hiyo ndani ya siku 7, inapofika siku ya 6, then CAG anatakiwa am bypass rais na kuwasilisha taarifa hiyo Bungeni. Hapa ni rais wa JMT anapangiwa na analazimishwa atake asitake!.
Ila Bunge letu lilivyo la mazuzu, likapitisha Azimio batili la Bunge kuwa halipokei ripoti ya CAG! Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?
Kiukweli Bunge lile lilipaswa kunishukuru sana mimi, kwasababu ni mimi ndiye niliyewaambia Azimio lao hilo ni Azimio batili, na nikawaambia kitu kitakachowatokea iwapo Bunge halitapokea ripoti ya CAG
Kitu kilichofanyika ni kwanza rais aliwasilisha ripoti ya CAG Bungeni kabla hajawa by passed na CAG, pili Bunge likaondoa Azimio lao batili kimya kimya, likaipokea ripoti ya CAG.
Jambo la pili ambalo rais wa JMT anaamrishwa ni kutekeleza Azimio la Bunge.
Baada ya Bunge letu Tukufu kuridhia IGA ya DPW na Bandari zetu, pamoja na mapungufu yake yote ya kisheria, IGA sio mkataba ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA, hivyo tunaweza kabisa kuwa na HGA nzuri.
Paskali
Hapo walikosea sana wameonesha interest yao mapema....wangeanza na Huduma za kijamii kama hospital,shule nk"hivyo kudhani DPW ikija inakuja kueneza Uislam!, na kwa kuzingatia, hivi tuu DPW bado haijapewa mkataba, imetoa misaada ya kujenga misikiti kadhaa, ikipewa Bandari, kazi ya kwanza si ni itakuwa ni kujenga masjid?".
Sasa hapo unaona kuna uwekezaji wenye tija au ni kueneza dini tu. Wakati ukoloni unaingia barani Africa, waliotangulizwa walikuwa hawa hawa watu wa dini na matokeo yake tujikuta tupo utumwani.
Yaani leo hii tukubali kuuza bandari zetu zote chini ya mtu mmoja tena kwa mkataba usiyo na ukomo.
Tunakuheshimu sana, usitake na wewe tukuone poyoyo tu.
Wanasheria wanavijiujuaji flani hivi 😂😂😂😂 wanahalalisha "the impossibility" ili mradi matakwa yao yafanikiwe.Shangaa nawewe bwana.
TEC mambumbu wa katibaSijasoma yote ila niulize tu kwani hawezi kuurudisha Bungeni kwa ajili ya review?
RubbishWanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania limemtaka Rais Samia kuifuta IGA ya DPW, iliyoridhiwa na Bunge, ili Rais Samia aifute hiyo IGA, ambayo baada ya kuridhiwa ni Azimio la Bunge, inambidi Rais kwanza kulivunja Bunge, ndipo alivunje Azimio la Bunge.
Katiba ni kakitabu kadogo tuu ka ukurasa, lakini kuielewa katiba, kunahitaji uwezo wa ziada, kama ilivyo kuielewa Biblia Takatifu au Quran Tukufu, kila mtu anayejua kusoma na kuandika, anaweza kusoma Biblia na Quran, lakini kuielewa unahitaji kupata ufunuo.
Vivyo hivyo kwa katiba ya JMT, kila mtu yoyote mwenye uwezo wa kusoma na kuandika, anaweza kuisoma katiba ila kuielewa kunahitaji ujaaliwe ufunuo.
Kwa mujibu wa katiba, mamlaka rasmi ya kuitafsiri katiba ni mhimili wa Mahakama Kuu, lakini it's very unfortunately mhimili wa serikali hawaijui katiba ndio maana wanatunga miswada kinyume cha katiba.
Mhimili wa Bunge, nao it's very unfortunately wanatunga sheria batili zinazokwenda kinyume cha katiba, na juzi kati hapa Bunge letu Tukufu, limeridhia IGA ya DPW na Bandari zetu ambayo iko kinyume cha katiba na sheria zetu.
Mhimili wa Mahakama wenye jukumu la kutafsiri katiba na sheria, nao it's very unfortunately hautimizi wajibu wake kikamilifu kwa kubariki uvunjifu wa katiba unaofanywa na mhimili wa serikali na mhimili wa Bunge!.
Mimi ni Mwanafunzi wa sheria wa Prof. Shivji, kiukweli niko very proud kuwa miongoni mwa wanafunzi tulio mwelewa vizuri Prof. Shivji alipokuwa akitufundisha somo la katiba, na ndio maana somo lake, mimi nimejenga kibanda, kwa kupata A, hivyo sasa najihesabu ni mwalimu wa kujitolea wa somo la Ijue Katiba, na nimeendesha mihadhara mbalimbali ya katiba ambayo imesaidia sana Bunge letu na serikali yetu, na sasa naanzisha vipindi vya Televisheni weekly kuelimisha umma kuhusu katiba, sheria na haki ambayo vitausaidia sana mhimili wa Mahakama kutenda haki.
Miongoni mwa wasioijua katiba ya JMT, ni Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, wametoa waraka wa kuipinga DPW, na kumtaka rais Samia asitishe ile IGA ya DPW na Bandari zetu, bila kujua kwa mujibu wa katiba, rais Samia hana uwezo huo!.
Ila hawa Maaskofu Katoliki, ni kiboko!.
Juzi baada ya kuutoa waraka wao, leo asubuhi katika makanisa yote ya Katoliki Tanzania, waraka huo umesomwa kanisani, mimbarini na madhabahuni!.
Baada ya kuusoma waraka wa TEC humu JF, Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu niliuliza Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa? na baada ya kitendo cha kusoma tamko la kisiasa Mimbarini na Madhabahuni, nauliza tena, huku sio kuchanganya dini na siasa?.
Lile tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kuipinga DPW na Bandari zetu, leo limesomwa mimbarini na madhabahuni na maparoko wa makanisa yote ya Katoliki Tanzania nzima kwenye kila ibada ya kila misa!.
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania kama taasisi huru, iko huru kutoa maoni yake yoyote kuhusu jambo lolote, yakiwemo maoni ya kisiasa, kiuchumi na kijamii, lakini kitendo cha Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, TEC, kutoa maoni ya kisiasa kuipinga DPW na Bandari zetu, kitendo cha kanisa Katoliki Tanzania kusoma maoni hayo ya kisiasa ya TEC, mimbarini na madhabahuni, sio kuchanganya dini na siasa?.
Madhabahuni na mimbarini ni mahala pa kuabudia, kitendo cha kanisa Katoliki Tanzania, kuusoma waraka huu mimbarini madhabahuni, ni **** kuwaaminisha Wakatoliki kuwa kuipinga DPW na Bandari zetu ni sehemu ya ibada, hivyo Wakatoliki wote sasa wanatakiwa kuipinga DPW. Wale Wakatoliki wanaiunga mkono DPW wakioongozwa na Makamo wetu wa Rais, Dr. Philip Mpango, tunawaweka kwenye hali gani?. Huku sio kuwakwaza Wakatoliki wote tunaounga mkono DPW na Bandari zetu?.
Waraka huo unasisitiza Vox Populi is Vox Dei, kumaanisha sauti ya wengi ni sauti ya Mungu, Tangu issue ya DPW ilipoibuka, kanisa Katoliki limewahi kukusanya maoni ya waumimi wake kuhusu jambo hili, hivyo kufikia hii conclusion kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW?.
Mimi ni Mkristo Mkatoliki, na toka issue ya DPW iibuke, sijawahi kukosa kanisani hata mara moja, sikumbuki kuwahi kuulizwa maoni yetu kuhusu DPW!, kama kuna Mkatoliki yoyote aliwahi kuombwa maoni yake na kanisa Katoliki, naomba ajitokeze.
Kama kanisa Katoliki halijakusanya maoni ya waumini wake kuhusu DPW, hii hoja ya TEC kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW, wameyatoa wapi?.
Kitendo cha Kanisa Katoliki Tanzania, kukusanya maoni ya Maaskofu wa Katoliki Tanzania, na kuyageuza ndio maoni ya Watanzania, huku sio kusema uongo?.
Na kitendo cha kuusoma uongo huo wa TEC kuwa Watanzania wengi hawaitaki DPW, na kuusomea mimbarini na madhabahuni, huku sio kumkosea Mungu, kuitumia mimbari yake na madhabahu yake vibaya, badala ya kuitumia mimbari na madhabahu, kwa kuabudia, kanisa Katoliki Tanzania linaitumia mimbari na madhabahu kupigia siasa za uoga za kuipinga DPW kwasababu tuu ni ya Waarabu, hivyo kudhani DPW ikija inakuja kueneza Uislam!, na kwa kuzingatia, hivi tuu DPW bado haijapewa mkataba, imetoa misaada ya kujenga misikiti kadhaa, ikipewa Bandari, kazi ya kwanza si ni itakuwa ni kujenga masjid?.
Bunge letu Tukufu limepitisha Azimio la Bunge kuiridhia IGA ya DPW, hawa Maaskofu wa Katoliki Tanzania, wamemtaka Rais Samia alifute Azimio la Bunge kuridhia IGA ya DPW,
Kumbe maaskofu wetu hawaijui katiba!, hawajui kuwa kwa mujibu wa katiba yetu, Rais wa JMT hana mamlaka ya kufuta Azimio la Bunge!, ili Rais Samia alifute Azimio la Bunge, inambidi Rais Samia alivunje Bunge!.
Rais wa JMT ni sehemu ya Bunge kwa mambo matatu tuu, 1. Kuliunda Bunge, kuridhia muswada kuwa sheria na kulivunja Bunge.
Kwa upande wa miswada ya sheria, Bunge likitunga sheria, rais anaweza kukataa kuisaini, anatakiwa kurejesha Bungeni kurekebishwa, Bunge likigoma kurekebisha, rais anakuwa hana jinsi bali ni kulivunja Bunge!.
Lakini kwa upande wa Azimio la Bunge, Bunge likiisha pitisha Azimio la Bunge, rais wa JMT hana mamlaka ya kuingilia chochote bali ni kuteleleza tuu Azimio la Bunge, vinginevyo ni alivunje Bunge!.
Hawa Maaskofu wa Katoliki Tanzania sio mchezo!, wanampangia hadi rais wa JMT na kumlazimisha apindue jambo lililoridhiwa na Bunge!.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, rais wa JMT halazimiki kufuata ushauri wa yoyote kwenye kufikia maamuzi, isipokuwa katika mambo mawili tuu, ambayo rais wa JMT analazimika kuamrishwa kufuata.
Mambo hayo ni 1.Kuiwasilisha Bungeni ndani ya siku 7, ripoti ya CAG, baada ya kuipokea, na asipoiwasilisha ripoti hiyo ndani ya siku 7, inapofika siku ya 6, then CAG anatakiwa am bypass rais na kuwasilisha ripoti hiyo Bungeni. Hapa ni rais wa JMT anapangiwa na analazimishwa atake asitake!.
Ila Bunge letu lilivyo la mazuzu, likapitisha Azimio batili la Bunge kuwa halipokei ripoti ya CAG! Je, Wajua Bunge linaweza kutoa azimio batili? CAG yuko kikatiba. Je, Bunge lina uwezo kutopokea ripoti ya CAG?
Kiukweli Bunge lile lilipaswa kunishukuru sana mimi, kwasababu ni mimi ndiye niliyewaambia Azimio lao hilo ni Azimio batili, na nikawaambia kitu kitakachowatokea iwapo Bunge halitapokea ripoti ya CAG Je, Wajua Bunge linaweza kuvunjwa Siku 7 Zijazo?. lisipopokea ripoti ya CAG, Bunge linavunjwa kwa mujibu wa Katiba
Kitu kilichofanyika ni kwanza rais aliwasilisha ripoti ya CAG Bungeni kabla hajawa by passed na CAG, pili Bunge likaondoa Azimio lao batili kimya kimya, likaipokea ripoti ya CAG.
Jambo la pili ambalo rais wa JMT anaamrishwa ni kutekeleza Azimio la Bunge.
Baada ya Bunge letu Tukufu kuridhia IGA ya DPW na Bandari zetu, pamoja na mapungufu yake yote ya kisheria, IGA sio mkataba ni makubaliano tuu, mkataba ni HGA, hivyo tunaweza kabisa kuwa na HGA nzuri.
Paskali
Muswada wa sheria unapopelekwa Bungeni na Bunge kutunga kuwa sheria, baada ya Bunge kuitunga sheria hiyo haiwezi kuwa sheria mpaka kwanza rais aridhie kwa kuisaini. Rais anaweza kusaini ama asisaini. Asipo saini, anarudisha Bungeni na marekebisho rais anayoyataka, Bunge linarekebisha, rais anasaini. Bunge likigoma kurekebisha, linamrudishia rais, rais analivunja Bunge.Hivi ndg msomi wa katiba Kuna tofauti gani kati ya mkataba uliopitishwa na Bunge na miswada inayopelekwa bungeni baada ya kupitisha na Bunge Rais anapelekewa kuisani?
Hufikii hata robo ya padre let alone maaskofuTEC mambumbu wa katiba
Azimio la Bunge halina kusitisha, unless ni Bunge lenyewe likae na kupindua Azimio lake. Rais Samia hana mamlaka kusitisha Azimio la Bunge!.Kusitisha wasilisho la azimio la Bunge ni sawa na kufuta azimio la Bunge?