familia nyingi za kiafrica ziliendekeza hii dhana ya mwanamke kujitokujitegemea na kudai eti mwanamke kazi yake ni kukaa tu na kusubiri aletewe nyumbani, utakuta binti wa miaka 18 hata kurudishia mteja chenji hajui, hii inasababisha wawe tegemezi kwa sababu toka mwanzo aliambiwa wewe utaenda kutunzwa na mume wako, hivyo basi haya mapambano yameshaanza na yameshaanza kuzaa matunda na ukweli alibahatika kuelewa ubaya wa kuwa tegemezi huwa ni hodari sana wa kupangilia mambo yake hasa ya kutunza familia? kuna wadada wengi na mama zetu bila wao watoto wawezi kwenda shule au mkono hauwezi kwenda kinywani, wewe unazungumzia sana student ambao wamezid kuomba chips mayai kwisha, pamoja na mashobaro wanaendekeza kutunzwa na majimama wa mjini waliojua umuhimu wa kutafuta. mwisho niseme kwamba sio wadada tu ni tegemezi bali hata wanaume siku hizi wamezidi na kadiri mnazidi kuwasema wanawake kuwa ni tegemezi baada ya miaka 100 ijayo wanaume watakuwa wanaongoza kuwa tegemezi.