TOTS SHALO
Senior Member
- Sep 24, 2012
- 152
- 25
Kuhonga ni kipaji
usixeme ivo kaka bali mshukulu mungu kwakua hayajakukuta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhonga ni kipaji
Na wanaume wanaopenda kuwaomba pesa wanawake wao.................
happy holidays Mkuu.
Mhu!!wewe huwa hupigwi vizinga?
Ila nyie mmezid vizinga. Mnafongelea mpaka basi.hahahahah..ni kama vile wanawake tu ndio wanaomba!
Mbona wanaume nao ni mabingwa?
Asante lakini kwa kutoa masomo haya yenye kulenga kurekebisha jamii na mahusiano.
Regia wengine si bahili. Yes ni mpenz wangu.. ni jukum langu kumsaidia. Lakin pale anapoanza kuona ww tajir, kila saa vizinga, ukimwambia sina kwa sasa ananuna. Na hata ukimpa asante hana.Ukiwa bahili utapigwa tu mizinga!
Na hiyo ndio huwafanya wanaume wengi kuwaacha sababu ya tabia za ajabu. Mtu umepanga mirad yako lakin kana kuja kukulilia shida mbaya mbovu.. ukitoa ahadi ya kumsaidia basi atageuza kuwa deni, atapiga kila saa kukukumbushia.Heshima kwenu wadau wote,
Nina imani mmeshakutana na hao watu ambao popote mkikutana baada ya story mbili tatu lazima akuombe hela, kusema kweli wananikera sana na wengine ni watu wazima kunizidi but kisa unapigana na resi zako kila siku wanakutafuta ili wakuombe hela tu,
imagine mtu unakutana nae kwenye starehe yeye kaja kivyake na wewe kivyako but anakuomba pesa eti amekwama hajui ataondokaje, wengine misibani, kwenye vikao vya harus na kwingineko yaan akukuona tu mzinga.
Na ukimwambia huna anatangaza yule ndugu ana roho mbaya anafikiri kipato chako siku zote hakina budget,
kusema kweli kama mpo humu muache hiyo tabia maisha yamekuwa magumu msipende kuwa tegemezi wakati mna viungo vyote vinafanya kazi, pigania maisha yako mwenyewe usipende kuomba omba na misaada kila siku,
Mwingine akiona una pesa tu kwenye wallet, kabati, gari au sehemu yeyote anaanza kulia shida zake anafikiri hiyo pesa haina kazi Haipendezi jitu zima kuwa omba omba
Mbaya zaidi ana wazazi kwao. Na wazazi wako vizur. Naamanisha wazazi wanauwezo. Na anaishi nyumbani. Laki kutwa kwako, njaa, nauli,vocha,nguo ya sikukuu, outing.Yaani unageuzwa Baba wa hiari au mlezi,,ndio maana Mke wa mtu mtamu Hana gharama we ni kulipia hotel tu,,,cha muhimu unamla kwa Timing usije ukafanyiwa mchezo mbaya na wewe.