Wajua nini kilichomfanya Harmonize kujiita "Robert"?

Wajua nini kilichomfanya Harmonize kujiita "Robert"?

kama kwl kabadili dini ,niseme tu watu wa kusini watu hovyo sana aisee..usiwaekee dhamana hata kidogo.
Pili amekamilisha ukafiri wake aliokuwa nao na ataona malipo yake....
 
kama kwl kabadili dini ,niseme tu watu wa kusini watu hovyo sana aisee..usiwaekee dhamana hata kidogo.
Pili amekamilisha ukafiri wake aliokuwa nao na ataona malipo yake....
Wewe unamjua huyu wa leo? Watu tunawajua wengi sana waliotoka uislamu na kwenda ukristo tena wa kutoka huko unakodhani siwa hovyo, na bado wanaishi tena kwa mafanikio makubwa. Hakuna cha laana wala malipo yoyote mabaya. Msijihesabie haki.
Acha niishie hapa.
 
JE WAJUA SABABU YA HARMONIZE KUJIITA "ROBERT"?

Anaandika, Robert Heriel.

Kwanza nimpongeze Msanii Harmonize Kwa kujifaraguza kubadilisha jina Kwa sababu ya Mapenzi aliyonayo Kwa Kajala, na kujiita "Robert" jina ambalo linamaana kubwa Sana hasa Kwa upande wa mtu anayetaka kuwa mkubwa, mashuhuri na mwenye ushawishi. Sitazungumzia kuhusu kuwa anampenda Kajala au Laah! Hilo ni juu Yao.

Robert ni jina kubwa na maarufu ambalo asili yake ni huko Ujerumani ambalo ni "Hrōþiberhtaz" ambalo ni muunganiko wa maneno mawili(compound word) *Hrōþi- kingereza "fame" Kiswahili "umashuhuri, utukufu, Uheshimiwa, ukubwa and *berhta- kingereza ni bright" Kiswahili ni "mwangaza, mng'ao, kung'aa ambalo ndio linazaa neno (Hrōþiberhtaz) "Bright Fame" Mng'ao wa utukufu, Mtu mashuhuri mwenye kung'aa Kama Nyota.

Robert ni moja ya majina makongwe yaliyoanza kutumika zamani Karne ya 14 na kuenea Maeneo ya Uingereza kisha Ulaya yote.

Watu mashuhuri na familia kubwa walipenda kuwaita watoto jina hili, huku wakifupisha Kama Rob, Robbie, Roby n.k Kwa wanawake huitwa Roberta,

Nickname ya Robert ambayo ni Mashuhuri Duniani ni "BOB"

Harmonize hajafanya Kwa bahati mbaya kujiita jina hilo, bali maana ya jina hilo ndilo lililomshawishi kujiita hata Kama ni Kwa utani.

Robert; Mtu mashuhuri, Star 🌟, mwenye ushawishi, mwenye utukufu , asiyeweza kuzuiwa asing'ae

Karibu Sana Harmonize kwenye Jumuiya ya Bob Duniani.

Ni Yule Bob wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Drama queen haupo mbali. Wewe uliamua kujiita hilo jina baada ya kutambua sifa unazozitaja? Bila hata proof, wewe ushaanza cherekochereko. Mwanaume mzima unamshabikia Mwanaume mwenzio.
 
Ukawe great thinker kwa Jambo lililo uchi hili, mbona hajhitaji nguvu kujua alichozungumzia.. Kuhama dini, kutoka Ukristo kwenda uislam ingekuwa kelele, kahama huyu katoka huku kaenda kule ni kimya tu.

Mzee unatamani uonekane great thinker.. Fanya la maana utambulike automatikali😂,
Huyo harmonize ni mkristo?
mbona unashabikia ujinga kwa mtu asiyetaka sifa?
 
Mimi naona angejiita Rogers ingekua mule mule kwa Rajabu.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ingekuwa rahisi hata kutupiga kwamba hakubadili dini alibadili kajina tu[emoji16][emoji16]
 
kama kwl kabadili dini ,niseme tu watu wa kusini watu hovyo sana aisee..usiwaekee dhamana hata kidogo.
Pili amekamilisha ukafiri wake aliokuwa nao na ataona malipo yake....
Dini sio tiketi ya kwenda mbinguni bali ni mpango wa mwanadam kumtafuta Mungu.

Sioni sababu ya kujiaminisha na iyo dini uliyeletewa kutoka magharibi
 
Mbona hata Uganda huku Kuna kiwanda Cha simenti kimepewa jina la Robert😂
 
Ni njaa zake tu... Mambi yake muachie mwenyewe...
 
Nini hakijaeleweka hapa magharibi ni Dini ya kikristo na mashariki ni Uislamu hivyo basi

Kama angekuwa mkiristo akabadili Dini kuwa muislamu mji usingekalika
Lete ushahidi kwamba kabadili dni
 
Back
Top Bottom