Wajua uume wa kuku jogoo

CONSTRUCTIVE THOUGHT

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2015
Posts
1,158
Reaction score
417
Jamani wana-JF nauliza kuku jogoo huwa ana uume? Katika jitihada zangu za kujifunza sijawahi ona uume wa kuku jogoo lakini cha ajabu huwa anapanda majike. Kama anao huwa upo sehem gani? maana nilisha nyonyoa manyoa yote kuchunguza uume wa kuku jogoo lakini sijaona.
 
Naomba ni kuulze wee jinsia gan?? Jogoo anazalisha......! Huu uzi nomaa saanaaa! Umenichekesha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…