CONSTRUCTIVE THOUGHT
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,158
- 417
Jamani wana-JF nauliza kuku jogoo huwa ana uume? Katika jitihada zangu za kujifunza sijawahi ona uume wa kuku jogoo lakini cha ajabu huwa anapanda majike. Kama anao huwa upo sehem gani? maana nilisha nyonyoa manyoa yote kuchunguza uume wa kuku jogoo lakini sijaona.