Wajue Black September: Munich Massacre 1972

Ni kweli uliyo eleza ila kama alivyo eleza bibiye mmoja kuna mapungufu hapa na pale hakuna aliye nusurika ktk wachezaji wa Israel ila mpishi aliyekuwa jikoni,na kambi mbili zilizo lipuliwa Lebanon sikosei ni Sabri na Shatilah,na Carlos ambaye alikuwa recruited kuwa saidia ndiye aliye chora na kuratibu hayo mauaji ila yeye hakuwa mshiriki wa moja kwa moja ktk hilo, ali shiriki kwenye utekaji nyara wa mawaziri wa mafuta wa opec nchini Venezuela ambako ndio kwao,sasa hivi ana tumikia kifungo cha maisha France,ana vitabu vingi vilivyo tungwa juu yake na kutungiwa sinema kama man of thousand faces, a day of the jackal,Bourne identity kuna kitabu kimoja ali eleza kufika Arusha kama mtalii ila alicheza michezo mingi huyu jamaa nili muadmire.
 
Hilo tukio la Mossad lilipata baraka zote za Waziri wao Mkuu wa Kipindi hicho Bibi Golda Meir aliyesema Kuna wakati kulipa kisasi ni njia nzuri ya kufundisha!
 
Hilo tukio la Mossad lilipata baraka zote za Waziri wao Mkuu wa Kipindi hicho Bibi Golda Meir aliyesema Kuna wakati kulipa kisasi ni njia nzuri ya kufundisha!
Na waziri wake wa ulinzi Moshe Dayan.
 
hao MOSSAD nasikia ni zaidi ya fbi kwenye inshu nzima ya upelelezi na kutekeleza mission


Mambo haya ni magumu sana hakuna anayejua nani yuko juu ya mwenzake... kwani hakuna kitu kinachoweza ku rate nani yuko juu ya mwenzake hasa katika maswala ya Intelligence
unless ziwe ni story za kahawa na kijiweni

kuweza kujua nani yuko juu ya mwenzake ni ngumu sana unless u assess failures na successful collections...

mfano leo hii naweza sema kuwa TISS ni bora kuliko FBI

why??

according na United Nations Office on Drugs and Crime

mauaji Tanzania kwa mwaka 2013 ilikuwa ni 3,831 kwa rate ya

wakati usa lwa mwaka huo ilikuwa ni 12,253

Je F.B.I wako wapi??
C.I.A je au wako busy na ISIS

je wajua According to the GTD, 80 Americans were killed in terrorist attacks from 2004 to 2013, including perpetrators and excluding deaths in Afghanistan and Iraq, the majority of which are combatrelated. Of those 80 Americans killed, 36 were killed in attacks that occurred in the United States.  More broadly, 3,066 Americans have been killed in terrorist attacks from 9/11/2001 through 12/31/2014, including perpetrators and excluding deaths in Afghanistan and Iraq. o 2,961 of these deaths occurred on American soil. o 2,902 of thesedeaths occurred during the attacks on September 11, 2001.

FBI wako wapi?

you figure it out mwenyewe kati ya tiss na fbi


swala la Mossad na Fbi ni mashirika ya ujasusi lakini yana majukumu tofauti
wakati fbi likiwa ni kitengo cha ujasusi wa mambo ya ndani ya marekani lakini Mossad ni shirika mama la ujasusi la israel hivi ni vitu viwili tofauti
 
Miaka ya 70 kulifumka magenge mengi ya kigaidi katika wapalestina pia kulikuwa na Saiqa likiongozwa na dada mmoja machachari sana Leilah kama sijakosea mtekaji nyara ndege hatari sana ila ali kuja kukamatwa na kulikuwa na PLFP la kina Saad Hadad,Japanese red Army lakini Kozo Okamoto lilifanya kitu mbaya Tel Aviv airport wakiwa wame kodiwa na PLFP,Kulikuwa na Italian Red Brigades walio kuja kumteka aliye kuwa waziri mkuu wa Italy Aldo Moro,kulikuwa na Badel Meinnholf la ujerumani liliundwa na mtu na girlfriend wake hilo jina ni muunganiko wa majina yao na Basque la Spain,nikipata muda nita kueleza vizuri kuhusu Carlos na mwenzake Mualgeria Mohamed Boudia maana walisoma wote na walikuwa wana fanana na wali tengenezwa chuo cha Patrice Lumumba Russia kwa kazi maalum.
 
MOSSAD WALIWATAFUTA MMOJA BAADA YA MWINGINE WAKAWAUA KAMA KUKU KIMYA KIMYA CHEZEA MOSSAD WEWE
Walikuwa na kijana wao Mossad cover name aliitwa Hunter ndio ilikuwa michezo yake aki kufuatilia enzi hizo aki kukosa ukatambike alimkosa kosa Carlos akamuua mwenzie aliye kuwa ana fanana naye Mohamed Boudia, Carlos aka ikimbia Ufaransa na ndiye mtu pekee aliye kuwa ana mhofia.
 
Assignment the Carlos the Man with thousand faces hazikuhusika moja kwa moja kupambana na Islael naamini asingedumu na kukamatiwa Sudan ujuzi ukiwa umepungua sana.
Na uzee pia,umri ulisha kwenda sana.
 
Uko sahihi kabisa Muungwana FBI ni shirika linalo husika na usalama wa ndani wa Marekani CIA ndio inayo shughulika na mambo ya Ujasusi nje ya Marekani wakati kwa Israel Shin Beth ndio wanao husika na usalama wa ndani na Mossad ni ujasusi wa nje.
 
hao MOSSAD nasikia ni zaidi ya fbi kwenye inshu nzima ya upelelezi na kutekeleza mission
Nadhani ungesema zaidi ya CIA maana FBI ni internal security ya marekani ni kweli maelezo yako ila huwa wanashare taarifa hao watu japo mossad wame advance zaidi katika kufuatia movements za magaidi na yasemekana hata lile shambulizi la sept.11 wali wataarifu jamaa zao kabla ila hawa kulipa uzito na Waisrael walio julikana kufanya kazi maeneo husika wali tahadharishwa kuto kwenda hivyo wali epuka na lika zua zogo juu ya umakini wa vyombo vya usalama Marekani.
 
Ume nikumbusha George Habash kiongozi wa PLFP na mwenzake Saad Hadad na wote walikua PLO waka hitilafiana na Arafat wakaunda hilo kundi lao niwie radhi hivi Cover name ya Arafat ilikuwa ni Abu Mussa au Abu Mazehn?
 
hao MOSSAD nasikia ni zaidi ya fbi kwenye inshu nzima ya upelelezi na kutekeleza mission
wakati mossad inategemea financial support from Us, sasa itakuaje zaidi???? au huna data??
 
Ume nikumbusha George Habash kiongozi wa PLFP na mwenzake Saad Hadad na wote walikua PLO waka hitilafiana na Arafat wakaunda hilo kundi lao niwie radhi hivi Cover name ya Arafat ilikuwa ni Abu Mussa au Abu Mazehn?

Nijuavyo ni Abuu Ammar.
 
ukiachia hiyo ishu ya munich ambayo hata hivyo hakuna cha ajabu walichofanya na baadhi walikamatwa na wengine kuuawa,kidon wamefanya operation ipi?.

Sharon kauawa na umri na si assassination.
Ok iko hivi huyu jamaa alijisahau akataka kusaini Gaza strip km 16 kuwaachia Palestine.
Alivyoona imewekewa ngumu akatangaza kuhama chama cha Likud kuanzisha chake na agombee katika process hiyo ndipo akapata ugonjwa unaofanana na unaitwa mushroom wakupoteza kumbukumbu.

Inasadikika hawa vijana walifanya yao kumuwekea ile kitu na kusababisha hiyo amekaa miaka tisa kalala.
Kuna ile ya Arafat kwamba nguo zilikua na Polonium 210 ila waliokua wanachunguza pamoja na mwili wake baadae wakaipotezea ile ripoti.
Kuna operation nyingi Kidon wamefanya Google tu utazipata sio wa kubeza hata kidogo hawa
 
sharon hakutaka kuuza sijui km 16 za gaza,sharon aliondoa majeshi ya israel gaza baada ya hamas kuanzisha mashambulizi ya kujilipua,waisrael waliona bora wajiondoe gaza ili wapunguze hasara waliyoanza kuipata kwa kukalia gaza,kama ulikuwepo miaka ile ya 90 ndo wimbi la kujitoa mhanga lilianzishwa na hamasi,na wakati huo gaza ilikua chini ya jeshi la israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…