Wajue Black September: Munich Massacre 1972

FaizaFoxy bwana kila kitu unajua!! Hongera sasa naomba uniletee na ile ya mateka wanafunzi watoto wa Urusi pale walipotekwa na magaidi wenye asili ya Chechnya yalipoizungushia shule nzima mabomu sitaki nigusie MCC na msaada wao maana magamba wenzako ndo wamekuwa wasemaji wakuu hapa jamiiforum. Saluti kwako sister.
Akishamaliza kukuletea hiyo story mwombe na ile ya kutekwa wasichana 270 wa shule na Bokoharam kule Nigeria.
 
MOSSAD WALIWATAFUTA MMOJA BAADA YA MWINGINE WAKAWAUA KAMA KUKU KIMYA KIMYA CHEZEA MOSSAD WEWE
hao MOSSAD nasikia ni zaidi ya fbi kwenye inshu nzima ya upelelezi na kutekeleza mission
 
FaizaFoxy bwana kila kitu unajua!! Hongera sasa naomba uniletee na ile ya mateka wanafunzi watoto wa Urusi pale walipotekwa na magaidi wenye asili ya Chechnya yalipoizungushia shule nzima mabomu sitaki nigusie MCC na msaada wao maana magamba wenzako ndo wamekuwa wasemaji wakuu hapa jamiiforum. Saluti kwako sister.
aiseee kumbe magaidi hawajaanza leo
 
Mbona tumeielewa na hajakurupuka? Wewe ndio uliyekurupuka kuitoa habari hii kwenye Kiswahili kwenda Wikipedia wacha ushamba!

Ni wapi niliposema amekurupuka au ni wapi niliposema hayaeleweki?

Nnaona wewe ndiyo umekurupuka kwa kiherehere kama ushuzi wa ngomani.

Kanisome tena kwa utuvu bila kiherehere ujione ulivyo juha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Na safari hii huo Ushungi utakushuka ule mshahara hewa uliokua unalipwa imekula kwako!
 
Ni wapi niliposema amekurupuka au ni wapi niliposema hayaeleweki?

Nnaona wewe ndiyo umekurupuka kwa kiherehere kama ushuzi wa ngomani.

Kanisome tena kwa utuvu bila kiherehere ujione ulivyo juha.

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Utuvu=Utulivu,mama hiyo sentence ya mwisho naona kama haikupaswa kuwepo kwenye bandiko lako,kila mmoja hukosea hakuna aliekamilika kila wakati.
 
Utuvu ni Kiswahili chetu cha mwambao.

Yule nnamjuwa anapoelekea hajaanza leo.
 
Utuvu ni Kiswahili chetu cha mwambao.

Yule nnamjuwa anapoelekea hajaanza leo.
Kama ni Kiswahili chenu cha mwambao then kitumie huko huko sio hadharani coz tutaona umekosea kumbe upo sawa pia wewe hutokuwa na haki kumsahihisha yeyote humu maana pengine mtu kaandika Kiswahili cha kwao,ukitaka kuwasahihisha watu anza wewe kufuatisha lugha halisi ili waige kutoka kwako.
 
Kiswahili kwao ni mwambao - kumbuka hilo.
 
Yap hapa ndipo hawa jamaa walianzisha kitu inaitwa Kidon ambayo watu wake wanatoka kwenye Mossad na wengi huwa highly skilled kwenye accomplishmet za mission wanazopewa.
Kidon ni hatari ambapo wamarekani wamechukua baadhi ya skills za hawa wakaanzisha Seal 6.
 
Ikiwa kulikuwa na mshindi katika hili tukio basi Black September walikuwa ni washindi kwa kishindo, kwani azima yao ilitimia, walifanikiwa kuteka na kupaaza sauti ya vilio vyao Kwa dunia nzima. Waliweza kuua mateka na wengineo, wengi kati yao walitoka hai ilhali walishajitolea kufa ili mradi kilio chao kisikike.

George Habash na Carlos iIlyich Ramirez Sanchez walipata booster kwenye matukio kama haya.

List of fatalities:

Shot during the initial break-in
Shot and killed by grenade in eastern-side helicopter D-HAQO
According to the order in which they were seated, from left to right:
Shot in western-side helicopter D-HAQU
According to the order in which they were seated, from left to right:
Shot on airstrip
  • Anton Fliegerbauer, German police officer
Palestinians shot dead by German police
  • Luttif Afif ("Issa")
  • Yusuf Nazzal ("Tony")
  • Afif Ahmed Hamid ("Paolo")
  • Khalid Jamal ("Salah")
  • Ahmed Chic Thaa ("Abu Halla")
Washindi kivipi na wakati Israel haikutoa mateka wa kipalestina?
 
Yap hapa ndipo hawa jamaa walianzisha kitu inaitwa Kidon ambayo watu wake wanatoka kwenye Mossad na wengi huwa highly skilled kwenye accomplishmet za mission wanazopewa.
Kidon ni hatari ambapo wamarekani wamechukua baadhi ya skills za hawa wakaanzisha Seal 6.
hawa jamaa hutumia media zao kujipamba sana,kidon haina uhatari wowote kuizidi CIA,Mafia,ISIS ,alshababu,etc.
Sema sifa za kwenye novel na media unaweza sema wanafanya matukio matata sana kumbe wapi
 
Kuna story niliwahi kusikia kuwa mission zote alikuwa akipanga jamaa mmoja akiitwa Abouu Nidal. Alipanga pia ulipuaji wa uwanja wa ndege kule Vienna Austria. Alikuwa akituhumiwa kwa misururu mingi ya milipuko iliyotokea barani ulaya. Alikuja kufia Iraq katikati ya miaka ya 2000.
 
hawa jamaa hutumia media zao kujipamba sana,kidon haina uhatari wowote kuizidi CIA,Mafia,ISIS ,alshababu,etc.
Sema sifa za kwenye novel na media unaweza sema wanafanya matukio matata sana kumbe wapi
Acha utani ww Kidon sio kwenye Novel kiongozi hiyo kitu ipo kama ilivyo ni hatari.

Baadhi ya mbinu ndio hizo zinaigwa na vikosi kama Seal six. Kile kikosi kilichoenda kummaliza Osama na kufanya mazishi baharini.

Kuna mambo mengi ambayo inasemekana yamefanya na hawa jamaa ikiwemo kuwawekea sumu kama polonium mahasimu wa taifa lao.

Hata Sharon alivyozingua hawa walisadikiwa kufanya yao. Hivyo achana na viongozi wa Hezbollah na makundi mengine ambayo yameadabishwa na hawa watu ni kiboko hawa jamaa.
 
ukiachia hiyo ishu ya munich ambayo hata hivyo hakuna cha ajabu walichofanya na baadhi walikamatwa na wengine kuuawa,kidon wamefanya operation ipi?.

Sharon kauawa na umri na si assassination.
 
Back
Top Bottom