harakat
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 2,887
- 1,351
Ok iko hivi huyu jamaa alijisahau akataka kusaini Gaza strip km 16 kuwaachia Palestine.ukiachia hiyo ishu ya munich ambayo hata hivyo hakuna cha ajabu walichofanya na baadhi walikamatwa na wengine kuuawa,kidon wamefanya operation ipi?.
Sharon kauawa na umri na si assassination.
Alivyoona imewekewa ngumu akatangaza kuhama chama cha Likud kuanzisha chake na agombee katika process hiyo ndipo akapata ugonjwa unaofanana na unaitwa mushroom wakupoteza kumbukumbu.
Inasadikika hawa vijana walifanya yao kumuwekea ile kitu na kusababisha hiyo amekaa miaka tisa kalala.
Kuna ile ya Arafat kwamba nguo zilikua na Polonium 210 ila waliokua wanachunguza pamoja na mwili wake baadae wakaipotezea ile ripoti.
Kuna operation nyingi Kidon wamefanya Google tu utazipata sio wa kubeza hata kidogo hawa
Yaani sharon alitaka kukubali yaishe atatue tatizo wala sio kuuza alionyesha nia thabiti ya kutaka kumaliza mzozo ule ila alivyotaka kusaini mikataba ndio wakainterveine hao jamaa.sharon hakutaka kuuza sijui km 16 za gaza,sharon aliondoa majeshi ya israel gaza bahada ya hamas kuanzisha mashambulizi ya kujilipua,waisrael waliona bora wajiondoe gaza ili wapunguze hasara waliyoanza kuipata kwa kukalia gaza,kama ulikuwepo miaka ile ya 90 ndo wimbi la kujitoa mhanga lilianzishwa na hamasi,na wakati huo gaza ilikua chini ya jeshi la israel
Akatangaza kuhama chama