Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

Kuna huyu pimbi anayekwenda kwa jina la GENTAMYCINE. Kila kitu anakijua yeye.

Ninadhani ana-Fit hapo kwa Warumi.
Huyo jamaa kweli nami huwa namshangaa....!!
 
Hapo kwa EVELYN SALT nakukatalia katakata!
Kwa mtazamo wangu huyu Evelyn Salt ni mke wa mtu, ameolewa ana kama miaka mitano kwenye ndoa yake.
Anajipenda sana na anampenda mume wake sana pamoja na mtoto wake.
Ila kikubwa ni kwamba mume wake hajui kama mke wake yupo jf na zaidi sana hata hajui jf ipoje. Mume wake huwa hakai nyumbani mchana. Pia mume wake ni mtu wa safari safari. Ana watoto wawili tu alozaa na huyo mume wake.... Tena ni watoto wa kiume wote.
Evelyn Salt ni mmama wa watoto wawili lakini ni mbichi kama vile hajazaa.
 
Na Mimi nimefanya kautafiti kangu nimegundua ww ni mpenda kick tu na maisha yako halisi yametawaliwa na umbea..Kisoda utadoda km mpaka poda !!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
My friend Bitoz hii ndo JF bhana never bored
 
Hapo kwa EVELYN SALT nakukatalia katakata!
Kwa mtazamo wangu huyu Evelyn Salt ni mke wa mtu, ameolewa ana kama miaka mitano kwenye ndoa yake.
Anajipenda sana na anampenda mume wake sana pamoja na mtoto wake.
Ila kikubwa ni kwamba mume wake hajui kama mke wake yupo jf na zaidi sana hata hajui jf ipoje. Mume wake huwa hakai nyumbani mchana. Pia mume wake ni mtu wa safari safari. Ana watoto wawili tu alozaa na huyo mume wake.... Tena ni watoto wa kiume wote.
Evelyn Salt ni mmama wa watoto wawili lakini ni mbichi kama vile hajazaa.
Kitu kimoja ambacho hujakisema ni kuwa Evelyn Salt ni mchepuko wangu
 
My friend Bitoz hii ndo JF bhana never bored
Ukistaajabu ya mastar wa JF in real lyf...utayaona ya mleta mada!!!
Kweli nyani haoni...........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Kuna huyu pimbi anayekwenda kwa jina la GENTAMYCINE. Kila kitu anakijua yeye.

Ninadhani ana-Fit hapo kwa Warumi.

tena ni pimbi la kutupwa lina ID yake ya Clevrbright
 
Back
Top Bottom