Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

Wajue JF members in Real life: Mtazamo wangu

Ukistaajabu ya mastar wa JF in real lyf...utayaona ya mleta mada!!!
Kweli nyani haoni...........
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kayataka mleta mada kazi anayo Leo. Ukitaka ustar wa JF lete mada kama hizo ila uwe mvumilivu tu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ewaaaa... umepatia sema umesahau jambo moja mihimu.

Mimi pia ni mlezi wa wajane.
Umenikumbusha ile series ya Chris Rock 'Every body hate Chris' kuna mtu anaitwa Mr. Omar,ni mlezi wa wajane mwenzio.
 
Mtoa mada unasema ni mgeni humu kisha umefanya utafiti wa muda mrefu!umeufanya vipi kwa muda mrefu nawe ni mgeni?au nazeeka vibaya jamaa sijamuelewa?
 
Me three....!!
I think wewe ni mkulima, unatumia bicycle kuendea shambani, and sometimes you have to walk pale bicycle inapokuharibikia... You are also too old, aka Kibabu...aliyekula too much salt haahaaa... May be this will make you not to pass by ya Uzi.... Je nimepatia life ya outside of Jf? Naomba my grade please..... Aaahhaaa... Thanks..
 
Back
Top Bottom