wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

ICU na mimi nakupenda pia!pamoja daima!
thank you jamani ila nilivyozoea kuishi na wagonjwa wangu hawa mapenzi yangu hutoyafurahia mumy. Lakini mapenzi yako at the same time yanaweza kunifanya nibadilishe kazi niwe hata mcheza filamu kama hawa wanaigeria ili nisikukose. Pamoja siku zote cheusimangala
 
mpendwa tatizo la mtu kujichubua linanzia ndani,mtu anakuwa hajiamini,hajui who she is,na ndiyo sbb vitu wanavyofanya ni vingi na vya ajabu sana!
imagine mtu yuko tayari kufa na cancer lkn awe tu mweupe,kuna siku nilitajiwa chemicals ambazo dada mmoja ndugu yangu anachanganya ili ajipake awe mweupe nililia!
na ukimweleza anakwambia mind ur biznes jealou people!
 
hapana usibadili kazi,wagonjwa mahututi wanakuhitaji zaidi yangu!
 
safi sana Masaki picha nimeiona kwani na wewe unaangalia Mikanda yao ..maana utawasikia wanaume wananong'ona ooh hii mikanda ya wanawake ha ha ha ha
 
Walishachelewa shule, watasoma lini wakati wanahitaji kujionyesha kwa jamii. Kupatikana kwa wasanii wenye vipaji, kutatokana na sanaa kuanza kufundishwa kwa watoto wadogo!
 
Mercy Johnson! anafly kwa spidi kali sana, hao hapo zilipendwa!



sina lengo baya






 
safi sana Masaki picha nimeiona kwani na wewe unaangalia Mikanda yao ..maana utawasikia wanaume wananong'ona ooh hii mikanda ya wanawake ha ha ha ha

Huwa naangalia sana tu! Kwa kuwa kwangu kuna wapenzi wengi wa hizo movies!
 



Nadia Buari

Nadia Buari is an actress in the film industry of Ghana, Africa. Nadia was born in Ghana.Nadia Buari is the daughter of both Khadija Buari and Alhaji Sidiku Buari, a well-known and successful musician in Ghana who is chairman of the African Action Committee of the Federation of Musicians (FIM), the acting chairman of the Copyright Society of Ghana (COSGA)and the former President of the Musicians Union of Ghana.
 
Ngoja kesho zamu ya wale mahandsome wa kinigeria kuna dada mmoja hapa JF huwa anachanganyikiwa akimuona nani ..anajijua

hahaaaaaaaaaaaaa, tuletee hao mahendisamu, ingawa kuna warembo wengine pale mtaa wa pili (Ghana) akina Jackie Apiah, nao wanafanya mambo ya ajabu.
BTW FL1, ule upaparazi wa valentines day mbona hukutuletea? au ulipewa mshiko usirushe hewani? angalia yasije yakakupata ya fulani.
 

She is one of my favourite Nigerian actresses too...movie hata ikiwa mbaya mradi yeye anaigiza mimi huwa naangalia tu!
 

Naona maelezo yako kuhusu Genevieve yanapingana na haya hapa chini.

Genevive Nnaji

Genevieve Nnaji grew up in Lagos the commercial capital of Nigeria. The fourth of eight children, she was brought up in a middle class environment. Her father worked as an engineer and her mother as a teacher. She attended the Methodist Girls College Yaba, before heading onto the University of Lagos. While at the university Genevieve began auditioning for acting jobs amongst the many Nollywood projects
 
MERCY JOHNSON sawa sawa kabisa kwangu
 
halafu nimekujibu kumbe ulishatoa link yenye sura yake!huyo simjui kabisa bwana!
labda fl1 atakufanyia ze nidful!


Chioma Chukwuka who hails from Oraifite in Nigeria, is a Nollywood actress who has starred in over 50 films.

She is a banking and Finance graduate of Lagos State University, and is one of the most prolific actresses in Nollywood.

Chioma is also a member of choir in the Pastor Paul Adefarasin’s “House on the Rock” church and a back up singer for Sammy Okposo’s Ex-generation band

She is married to Mr. Akpotha and the couple were blessed with a baby in 2007.
 

Nadia Buari - (Ghana)






 
Kumbe wana elimu ya juu ndo maana angalau some movies zinamake sense.
Uyu Geneviv huwa nampenda sana
Ila kuna mmoja namjua kwa picture tuu jina silijui endelea kuweka picha zao bwana huwa nampenda yuko calm
 
Mbona Monalisa Chinda hayupo kwenye list? naye yupo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…