wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

Wakinamama wa kiafrika mmejaliwa ngozi na nguvu nyingi za kuhimili hata miaka, mkikaa vizuri, mkafanya mazoezi kidogo tu na kula vyakula sahihi (siyo chips na kuku) hata miaka hamsini bado mnabakia mnang'aa vizuri kabisaa! ngozi haijikunji, tatizo sasa lililobakia ni elimu. Much needs to be done on this!

age kitu gani bana its just a number
she looks sweet 16 still....
 
Akina Uwoya,Johari na wengineo sijui wanawaona wenzao walivyo na shavu.Tunahitaji kuwasapoti wasanii wetu
 
Stephenie Okereke!

Stepha36.jpg

stephanie%20okereke%201.jpg


Okereke1.bmp


stephanie-okereke-african-goodwill-awards.jpg
 
uzuri wa hawa wengi wao wamesoma!i love genevieve!
kumbe na wewe mpenzi wa hizi movie mama....umenishawishi na mimi kuanza kuzitizama....
hebu nitajie majina ya ulizotizama ukaona ni nzuri nizitafute.
:cheusiii mangala yoyoo mangala cheusi mangala mama mrembo wa afrika:
 
Da mimi lazima nikiri kuwa niko mbali sana na movie hizi za Kinigeria
 
Acheni noma watu wangu.
Washikaji wako vizuri kuanzia out look hadi brain. yaani wako level nyingine kabisa si kama wakwetu wa kibongo. halafu inshu ya umri mbona siyo inshu kihiiiiivyo kwani unatakakuoa nini? Isitoshe we mwenyewe ni kikongwe ile mbaya born since 1973, si make-up tu ndio zinakutoa au uongo? Acha kabisa hizo wapo fresh ile mbaya
 
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!

Hawa wote mimi nawaona wana uzuri wa kuzaliwa, hata bila make up na wajipake mafuta ya nazi tu 😉 wote bado watakuwa na mvuto mkubwa tu.
 
.......Kuna huyu dada anaitwa Eucharia Anunobi mara nyingi anaact kama mwanamke mtu mzima anapenda kuchukua vijana wadogo na mpenzi sana wa kwenda club......... huwa ananikosha english yake, she speaks perfect english na pronunciation ya maneno ipo very nice.....sio kama wengine wanaongea english yenye accent ya igbo au yoruba.

........Kuna huyu mama G huwa ananikosha na vituko vyake vya ukatili, pretty lady Omotola naye namfagilia sana........black beautiful lady Mercy Johnson ananikosha kwa viwalo vyake kwenye scene, huwa anavaa so sexy.........wote hao ulitoa picha zao huwa nawafagilia kwa kweli, somehow they know how to act.

........FL1 zamu ya wakaka sana, wapi Desmond Elliot, Michael ezuruonye,Pat attah, Yul Edochie anachipukia huyu, Richard Mofe Damijo and Emeka Ike hawa ni baadhi tu ya wakaka wanaonikosha katika nigerian movies.
 
kumbe na wewe mpenzi wa hizi movie mama....umenishawishi na mimi kuanza kuzitizama....
hebu nitajie majina ya ulizotizama ukaona ni nzuri nizitafute.
:cheusiii mangala yoyoo mangala cheusi mangala mama mrembo wa afrika:
sasa sijui wewe unapenda kuangalia za aina gani,ila nyingi ni za mapenzi na drama!
 
Kuna mama mmoja anaitwa Patience Ozwokor.yani yeye kila movie anaact ana roho mbaya,anavunja ndoa za wanae nk.
 
Naaanza na ma -sterring wa kike wanaotikisa Movie huko Nigerian
Genevieve Nnaji, born May 3, 1979 in Mbaise, Imo State, Nigeria), is a Nigerian actress. In 2005 she won the African Movie Academy Award for Best Actress
Genevieve Nnanji- Elimu ya chuo kikuu..aliipatia nchini Ghana

genevieveN1.jpg

gn.jpg

genevieve.jpg


Ini Edo- Elimu Chuo Kikuu

1iniedo.jpg

pix20090411053078.jpg

ini.jpg


Rita Dominic - Elimu Chuo Kikuu
Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha (born 12 July 1975 in Mbaise, Imo State, Nigeria)is a Nigerian actress

rita.jpg

Rita_Dominic6.jpg

Rita_Dominic3.jpg


Omotola- elimu bado kuipata
omo.jpg

omo1.jpg

naija_actress2.gif

27513_Omotola__jpgb852875466406ed5e78e641348dff1ad


Umemsahau Chioma Chukukwa na mama mtu mzima PATIENCE Azwokor
 
AS REQUESTED BY CHARITY & STAFFORD
Patience Ozwokor. huyu kimchezo ni kimeo
lakini maisha halisi ni mjane na mlokole

mama%2Bg.jpg

8694_mamag_jpg991cb90991b204d1400191ce99a4603a


8697_showmembers4_jpg3665f8a5c1833f9dde6cc5250ce23704


Liz benson

8690_benson_liz1_jpgbc4fe648b004b22a434286769b5970f4

8692_normal_liz1_jpg5e7a91ca22232bbe5bb1a299792c703a

6174_benson_liz3_jpg2c776f36f459fa9d1edc6f6d5e223ad3
 
sure Cheusimangara itabidi na hawa wetu waanze kuingia shule ..kama wenzao

wakikubali kwenda shule japo kutiana aibu kwenye movie kutakua hakupo, maana mmmhh! shughuli.
"asante kwa kushukuru" kwenye english subtitle "thanking you for thanking me" ipo kazi!
 
Back
Top Bottom