age kitu gani bana its just a number
she looks sweet 16 still....
kumbe na wewe mpenzi wa hizi movie mama....umenishawishi na mimi kuanza kuzitizama....uzuri wa hawa wengi wao wamesoma!i love genevieve!
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!
Mbona Monalisa Chinda hayupo kwenye list? naye yupo juu
Oge Okoye....
sasa sijui wewe unapenda kuangalia za aina gani,ila nyingi ni za mapenzi na drama!kumbe na wewe mpenzi wa hizi movie mama....umenishawishi na mimi kuanza kuzitizama....
hebu nitajie majina ya ulizotizama ukaona ni nzuri nizitafute.
:cheusiii mangala yoyoo mangala cheusi mangala mama mrembo wa afrika:
Naaanza na ma -sterring wa kike wanaotikisa Movie huko Nigerian
Genevieve Nnaji, born May 3, 1979 in Mbaise, Imo State, Nigeria), is a Nigerian actress. In 2005 she won the African Movie Academy Award for Best Actress
Genevieve Nnanji- Elimu ya chuo kikuu..aliipatia nchini Ghana
Ini Edo- Elimu Chuo Kikuu
Rita Dominic - Elimu Chuo Kikuu
Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha (born 12 July 1975 in Mbaise, Imo State, Nigeria)is a Nigerian actress
Omotola- elimu bado kuipata
sure Cheusimangara itabidi na hawa wetu waanze kuingia shule ..kama wenzao