wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

wajue Kina Dada wa Ki-Nigeria wanaowika ktk movie..so good!

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Naaanza na ma -sterring wa kike wanaotikisa Movie huko Nigerian
Genevieve Nnaji, born May 3, 1979 in Mbaise, Imo State, Nigeria), is a Nigerian actress. In 2005 she won the African Movie Academy Award for Best Actress
Genevieve Nnanji- Elimu ya chuo kikuu..aliipatia nchini Ghana

genevieveN1.jpg

gn.jpg

genevieve.jpg

Ini Edo- Elimu Chuo Kikuu

1iniedo.jpg

pix20090411053078.jpg

ini.jpg

Rita Dominic - Elimu Chuo Kikuu
Rita Uchenna Nkem Dominic Waturuocha (born 12 July 1975 in Mbaise, Imo State, Nigeria)is a Nigerian actress

rita.jpg

Rita_Dominic6.jpg

Rita_Dominic3.jpg

Omotola- elimu bado kuipata
omo.jpg

omo1.jpg

naija_actress2.gif

27513_Omotola__jpgb852875466406ed5e78e641348dff1ad
 
eeeeeh Rita amezaliwa 1975??
anyway hawa wadada kumbe wasomi eeeh
no wonder......!!!!
 
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!

biggy zipo movie wameigiza wapo ushagoo ile mbaya, lakini hawako vibaya......they are pretty!!!
 
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!
kweli ni vikongwe!kama huyo rita sikijua kama ni mkubwa hivyo!
lkn nawasifia kwa jinsi wamesoma!
 
sure Cheusimangara itabidi na hawa wetu waanze kuingia shule ..kama wenzao
hawa wa kwetu mama wengi wao wakishatokea katika gazeti la uwazi mara 2 tu basi wanajiona wameshafika kileleni hawataki tena maswala ya elimu!
 
Kwa actress wa Nigeria elimu inawatoa sana. Pale ambapo ni lazima kufananisha na hawa wa kwetu kwa kweli suala la elimu katika kila fani ni la msingi sana. Hatuwezi kubeza kwamba hatuna watu wenye vipaji lakini kama ingekuwa: kipaji + elimu mambo yangekuwa bomba sana!! Wengine tunaigiza baada ya kukosa shughuli nyingine za kufanya tunasahau kwamba kwenye uigizaji hakuna ubabaishaji na ni industry inayojitegemea na inapaswa kulipa maisha ya mtu kama ilivyo kwa taaluma nyingine yoyote katika jamii.

Naamini wasanii wetu wanalo la kujifunza kutoka kwa watu hawa.
 
age kitu gani bana its just a number
she looks sweet 16 still....
Sasa huyo Omotola je???! nilisoma habari zake kama miaka 5 imepita alikuwa na 40 hivi.Lakin ukimuona bado binti kabisa halafu sahizi ndo amepungua zaidi.
Yani wakitembea na Cheusi mangala,cheusi anaamkiwa na yule anapewa mambo anti!
 
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!

Mkuu hata hawa hapa kwetu mbona wanatudanganya sana na make up zao hasa zile wanaita foundation powder? Sasa wewe mshtukize kwao asubuhi hajaoga na kuanza kupaka hiyo lukaria yake ndipo hutamtambua kabisa. Sana sana utabaki kusema namtafuta fulani, kumbe yeye ndiye fulani mwenyewe!!! Natural is always the case!!! Articial hizo ni temporary and are damaging, they are skin aging agent!!! Mwishowe unaanza tena kupambana na akina Loreal anti-aging creams!! Yote ya nini?
 
Dah, mada ishabadilika sasa.
 
But too much Make-Ups!
Ukimbamba kabla ya kupaka hayo makemiko hutaamini kama ndo yeye!..Ni vikongwe hawa!
Heshima sana mkuu PJ,
But something to remember is: Makeup is just like to select a best dress for a certain visiting as you know you won't go to your Mother/Father in law with unrespectable dress. Let them teach our actress.
 
Bht huwezi kuamini utadhani kazaliwa19 82 ..
yaani bestlady anaonekana mbichi kabisa.....
all in all hawa wadada wanajua kuigiza bana....na wana fit chaacters mabali mbali

Sasa huyo Omotola je???! nilisoma habari zake kama miaka 5 imepita alikuwa na 40 hivi.Lakin ukimuona bado binti kabisa halafu sahizi ndo amepungua zaidi.
Yani wakitembea na Cheusi mangala,cheusi anaamkiwa na yule anapewa mambo anti!
hahaaaa Cheusi umesikia hiyo....???
 
Back
Top Bottom