Wajue kina kaka wa Kinigeria wanaotikisa ktk ulimwengu wa movie-Nollwood

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
Ramsey Nouah


na family
Pat-Attar .



Jim Ike ( huyu sijui huwa ni gangstar vile alivyo mmh




Desmond Elliot




Pete Edochie -Kiboko ya njia


Van Vicker





Chidi Mokeme

Nonso Diobi



more pics to come kuna mmoja namtafuta simpati ati
Emeka Ike

 
hawa nao ni ma-handsome sijui ndo mambo ya mapowder ?
 
Van Vicker ametulia, hata katika action zeke yuko safi yeye na Ramsey. Kwa kweli wanavutia.
 
Afu watu waongo sana.Nishawahi sikia eti Ramsey Noah ni mume wa Genievevi Nnaji.Kumbe mke wake mwingine kabisa.
 
Pat has a look, yuko vizuri kwenye fani pia
Ramsey anaigiza vizuri pia....anafit sehemu nyingi anazocheza
Jim Ike ..."solder boy" hahaaa...am reserving my comments for now!!
 
hawa nao ni ma-handsome sijui ndo mambo ya mapowder ?
inaelekea unawazimikia sana wanaija mmh??but what,mimi hawa waigizaji mabishoo siwazimii,kama waigizaji wanaija ninaowazimia kuna sam loco efe,na osita iheme na chinedu ikedieze pia mr ibu,hawa mmh napenda kweli movie zao maana mbavu lazima zichomoke.😀
 
hawa nao ni ma-handsome sijui ndo mambo ya mapowder ?
Nakuaminia mamie. big up!
Huwa nampendaga sana Pete Edochie kwa jinsi anavyotulia kwenye nafasi yake. hababaiki wana hashitushwi hata kama kuna jambo kubwa kiasi gani.
Pole zake mke wa Ramsey, maana kama ana mawivu kama yale ya Pearl, kazi ipo.
Jimmy Ike wanampa sehemu ambazo mara nyingi huwa hajatulia, hii inanifanya nisimpende sana
 

sam loco efe


osita iheme


chinedu ikedieze

hawa ndio wananiachaga hooi.
 

Sio yeye tu, ni wengi tunawazimikia wa9ja kutokana na movie zao zinazogusa maisha ya kila siku ya binadamu. Ufundi wao katika ku-act, episode/theme zao, na jinsi wanavyojua kuchagua ma-handsome na ma-beauty katika uigizaji. Sisi pia hatuko nyuma, tunajitahidi.
 
of course wanajitahidi,napenda kuziangalia pia,hasa zile wame act kwenye mazingira ya kawaida au ya kijijini hasa,thats my favourite,hizi za kitajiri tajiri ki gangster sizizimii kabisa,hasa jim iyke anani bore saana anavyo act,hata slang anayoongea kuigiza wamarekani lol,i dnt think this guy can real real act.
 
mbona mnamsahau Mr.Ibu ,bonge la handsome
 
mbona mnamsahau Mr.Ibu ,bonge la handsome
Muweke basi kigogo wako wengi kuna mmoja yaani huwa nikimuona lazima niangalie movie lakini jina sikumbuki kabisa
hebu kama unayasoma mawazo yangu mbandike hapo
 

Hatujitahidi chochote, aibu tupu. wenzetu vidato vimepanda, wengi hapa ni graduates vyuo vikuu. unapata hamasa kuangalia movie zao wachezaji wanatumia akili na elimu pia. Movie za kibongo sitaki hata kuziangalia, hasa ikishakua na english subtitle ndio usiombe, aibu tupu! jambo moja lisiloisha. mtu akianza safari toka kunduchi basi hadi atafika mjini unaonyeshwa mitaa yote. upuuzi mtupu!
 

Attachments

  • ibu-mr.jpg
    7.2 KB · Views: 423
  • Mr Ibu 2 S.jpg
    13.2 KB · Views: 127
  • mr ibu-s.jpg
    4.2 KB · Views: 94
  • Mr. Ibu.jpg
    8.9 KB · Views: 95
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…