hizi shule mnataja kwamba wamesoma nadhani hamna kitu,ni kama dsj,ifm, na vyuo vingine taka vilivyojaa hapo bongo,sidhani kama hapo kunahitajika tumpe heshma msanii yeyote wanigeria,cnt imagine kama mnamsupoprt jim iyke,what a waste?hapo mimi i can turn na nimshabikie ray or kanumba instead of that crap jim iyke,
I think movies is like other hobbies where someone may choose to like or not,
Vyuo walivyosoma ni vyuo vikuu na vyuo vya kawaida kama ulivyotaja, I think you know engineering is not in just 'college'. What makes us or me to write that is not because I adore them. Nina elimu pengine kuwazidi wao. Sababu ni hizi;
1. Kutokana na matatizo ya ajira n.k in Nigeria, kumepelekea vijana wengi wasomi kuigiza na hii issue ya kufanya mambo bila kuangalia society wenzetu zimewapeleka mbali. Ndiyo maana abroad mtu anaweza kubeba box na kufanya any dirty job akirudi Tz anaona aibu
2. Mentality ya ukoloni na elimu ya kikoloni imetufanya vijana wengi kupenda kuajiriwa, na kukaa ofisini, is suprising to see our graduate kuishia kuwa customer care wa kupokea simu Vodacom, wakati wanaweza kufanya mambo mengine katika jamii.
3. English is our biggest problem, not only for graduate never mention street boys, movie industry ime-influence sana kuongea kwa kiingereza miongoni mwa wa-nigeria. Some industry can real initiate something. Mfano Tz Amina Chifupa (RIP) (na wengine)amehusika sana kukuza miziki ya kizazi kipya, taarabu na hata injili , na leo hii unaona vijana wengi wanafaidika sana na usanii
4. Nigeria is number two in the world kwa production ya idadi ya movies, wameanza miaka ya 60, lakini kuanzia 90-sasa. industry yao imekua vibaya mno. Believe me nchi nyingi jirani na Nigeria wengi wameanza kwa fujo kuzalisha films kwa sababu kwa ujumla ina -stimulate economy ya nchi kwa mambo mengi.Kikubwa ikiwamo utalii, because they sell world wide
5. By giving this information it is my hope that someone somewhere anaweza akawaza kuwekeza kwenye movie industry na hasa za kiingereza, those are ones will make our country to be known. We we ni shahidi Kiswahili siyo language ya biashara.
6.Leo hii wakatokea watu kuwekeza na kustimulate industry, vijana wasiosoma wataenda short couese za kiingereza, lugha ya kiingereza itakua, we will never think of Kenyan and Ugandan that are better than us . Kiingereza kikikua hatutapoteza hela kuwapelekeka watoto Kenya na Uganda; we can actually compete in the global stage!
7. Movie like any other fasihi ina mafundisho, we have so many problems that films can actually teach people. NIGERIA ni taifa lwa watu milioni 120! WATU WANASEMA Na ukifika Nigeria unakuwa umefika Africa, culture za makabila yetu mengi bado ziko huko na zinadumishwa sana, kumbuka movement ya bantu people karne ya 500BC to 1000AD to East Africa na South kwa mfano, walitoka Nigeria, Congo na Cameroon. Today Nigeria could be the only bantu people waliotunza sana mila japo wameendelea sana, kwa sababu hawakuondoka!!
8. Kanumba , Ray n.k They will be Tanzanian na wataheshimika, kupost hizi hakuna maana ya kudharau tulionao. Una uhuru wa kuanzisha thread yao, hakuna wa kukuzuia. Richard (BBA winner), KANUMBA wameshaigiza movie na wanigeria ! why? we need to learn from them may be
Movie aliyocheza Richard, Ini Edo , Uche n.k Wa Nigeria waliipenda sana , japo Rich alikuwa mgeni katika soko. However, it could be because he knows english!
Wahindi na Wa Nigeria kama haujui wametawala soko hata Tz, vijana wanashinda usiku na mchana wakiangalia movie zao, what if zingekuwa za hapa hapa nchini? I guess tungekuwa mbali.
Ukiangalia movie nyingi za Nigeria, you will actually think wameigizia Tanzania, what they act is a typical life of ours. As I speak kuna Black America wengi wamegain sna Interest kuangalia movie za Nigeria, Ghana, Gambia na Carrebean! wanataka wajue walikotoka LOL!
Kusema movie star watu hawasemi kwa sababu wanapenda they have seen them, unaonyesha hujawahi kuangalia, Angalia You tube film ya 'Solid Affection' uone ni jinsi gani tunaweza kupambana na ufisadi ! mwangalie Ramsey anafanya nini! mkuu mwenzako anazungumzia Hollywood unasema sio star!