crixx mbilinyi
Member
- Jan 25, 2018
- 67
- 67
Hi ni baraa sasa kwapamoja walikua na kilo (kg 670+)4/Billy & Benny Loyd McCrary
Walizaliwa Disemba 7 1946
Hawa ni mapacha wanaoshikilia rekodi ya kuwa mapacha vibonge zaidi kuwahi kutokea duniani
Walikuwa na uzito wa jumla wa Paundi 1468 (Kg 670+)
Mmoja alifariki wakati wakiendesha pikipiki ya pamoja(pikipiki pacha) mwaka 1979.....walipendelea kuendesha pikipiki
Mwingine akafariki mwaka 2001 kwa ugonjwa
Makaburi yao yamejengwa kwa kuyaunganisha sehemu moja
Bahati yao hizo pikipiki hazikua boxer.....Kiukweli wanachekesha haswa hizo picha wakiendesha kapikipiki
Kivp yn...sijakuelewa....kwamba ilikua akichoka mmoja anaingia mwingine au9/Shawn & Aaron Ashmore
Walizaliwa Oktoba 7 mwaka 1979 nchini Canada wakiwa ni maoacha waliofanana kupitiliza
Wanapatikana zaidi kwenye kituo vha luninga cha ABC
Shawn alijipatia umaarufu kupitia X-men films wakati Aaron alionekana kwenye Warehouse 13
Kisha wote kwa pamoja wakacheza muvi matata ya Smallville ambapo watu walishindwa kung'amua kwamba ni watu wawili tofauti
Sasa ndo nn hiki.....yani mapacha afu mmoja ana 107 mwingine 108??7/Kin Narita & Gin Kanie
Hawa ni mapacha walioweka rekodi ya kuishi miaka mingi zaidi hapa duniani
Hawa ni raia wa Japan waliofariki mwaka 2000 mmoja akiwa na miaka 107 halafu mwingine akiwa katimiza miaka 108
Mwaka 1992 wakati wanaadhimisha miaka 100 walizindua album waliyoipa jina la Gin Chan & Kin Chan ambayo ilibamba vilivyo huko Japan kwa akina Takuma na kuuza nakala kibao
Wewe ndiye hujaelewa mkuuSasa ndo nn hiki.....yani mapacha afu mmoja ana 107 mwingine 108??
thanks bro hawa jamaa nawakubal sn kwa sasa wamejkita sn kwny masuala ya blockchain technology (CRYPTOCURRENCIES)3/Cameroon & Tayler Winklevoss
Walizaliwa Agosti 21 mwaka 1981
Hawa ni wataalamu wa kubuni na kutengeneza tovuti yaani wapo vizuri kwenye Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA/ICT)
Ndio waliomshawishi na kumvutia Mark Zuckerberg kuanzisha mtandao wa Facebook baada ya kumpa wazo
Pia wana kipaji cha kurusha mikuki na kuendesha mitumbwi na walishiriki pamoja katika michuano ya Olympic huko Beijing nchini China 2008