crixx mbilinyi
Member
- Jan 25, 2018
- 67
- 67
Hi ni baraa sasa kwapamoja walikua na kilo (kg 670+)4/Billy & Benny Loyd McCrary
![]()
![]()
![]()
Walizaliwa Disemba 7 1946
Hawa ni mapacha wanaoshikilia rekodi ya kuwa mapacha vibonge zaidi kuwahi kutokea duniani
Walikuwa na uzito wa jumla wa Paundi 1468 (Kg 670+)
Mmoja alifariki wakati wakiendesha pikipiki ya pamoja(pikipiki pacha) mwaka 1979.....walipendelea kuendesha pikipiki
Mwingine akafariki mwaka 2001 kwa ugonjwa
Makaburi yao yamejengwa kwa kuyaunganisha sehemu moja