Wajue mapacha kumi maarufu zaidi duniani

Huwa natamani sana kupata watoto mapacha
 
Dah inauma sana.
Pacha mmoja kubaki peke yake kwa miaka 22 bila mwenzie ni majonzi sana.
Nafafanua maana kuna vitasa mtabisha humu
Kuzaliwa 1946
Wa kwanza kufa 1979 akiwa na 33 yrs
Wa pili kufa 2001, akiwa na miaka 55....gape la miaka 22
 
Umeongea ukweli mkuu
Ila ni nadra pacha kufa pamoja au kwa kufuatana lavda pacha walioungana

Hivyo siyo jambo geni japo linaumiza kisaikolojia
 
Sanaaaaaa.
Mie pacha wangu wa kiume naambiwa alidead tukiwa na 2 months.
Huwa najiuliza, angekuwa hai mpaka leo, je angekuwa korombwee kama mie au....maana duh!!!!
 
Pole sana mkuu kwa kumpoteza pacha mwenzio
Kuna mambo maishani mtu ukiyafikiria sana unakosa majibu
 
Hakuna kama mapacha wetu Maria na Consolata, raha ya milele uwape bwana..............
 
Hao ni special case mkuu maana waneungana
Kuna thread nitaileta kuhusu "walioungana"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…