Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah inauma sana.4/Billy & Benny Loyd McCrary
![]()
![]()
![]()
Walizaliwa Disemba 7 1946
Hawa ni mapacha wanaoshikilia rekodi ya kuwa mapacha vibonge zaidi kuwahi kutokea duniani
Walikuwa na uzito wa jumla wa Paundi 1468 (Kg 670+)
Mmoja alifariki wakati wakiendesha pikipiki ya pamoja(pikipiki pacha) mwaka 1979.....walipendelea kuendesha pikipiki
Mwingine akafariki mwaka 2001 kwa ugonjwa
Makaburi yao yamejengwa kwa kuyaunganisha sehemu moja
Umeongea ukweli mkuuDah inauma sana.
Pacha mmoja kubaki peke yake kwa miaka 22 bila mwenzie ni majonzi sana.
Nafafanua maana kuna vitasa mtabisha humu
Kuzaliwa 1946
Wa kwanza kufa 1979 akiwa na 33 yrs
Wa pili kufa 2001, akiwa na miaka 55....gape la miaka 22
Sanaaaaaa.Umeongea ukweli mkuu
Ila ni nadra pacha kufa pamoja au kwa kufuatana lavda pacha walioungana
Hivyo siyo jambo geni japo linaumiza kisaikolojia
Pole sana mkuu kwa kumpoteza pacha mwenzioSanaaaaaa.
Mie pacha wangu wa kiume naambiwa alidead tukiwa na 2 months.
Huwa najiuliza, angekuwa hai mpaka leo, je angekuwa korombwee kama mie au....maana duh!!!!
Kabisa mkuuPole sana mkuu kwa kumpoteza pacha mwenzio
Kuna mambo maishani mtu ukiyafikiria sana unakosa majibu