- Thread starter
- #221
Uhuru lazima uwe na limits na kiasi.Yaani ukishakuwa mtu wa sheria sheria ni unapata tabu sana
Mara usisikilize hiki, mara usile kile, mara usiende huko, kuwa huru mkuu katika Kristo ili mradi usiwakwaze wenzio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru lazima uwe na limits na kiasi.Yaani ukishakuwa mtu wa sheria sheria ni unapata tabu sana
Mara usisikilize hiki, mara usile kile, mara usiende huko, kuwa huru mkuu katika Kristo ili mradi usiwakwaze wenzio
Ndo ninyi mmekaririshwa na wazungu kuwa Dunia ni duara kama chungwa!!Habari yako imekuwa batili kwakuwa ina uongo.
Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume ni wengi duniani kuliko wanawake.
Ingia Wikipedia, na mitandao yote mikubwa duniani inathibitisha hilo labda uniambie kuwa umezunguka duniani kuhesabu watu wote.
Hii ya wanawake ni wengi kuliko wanaume ni story za vijiweni.
Kwa ufupi hizi ni story za kutunga au zilizojaa illusion.
Tazama takwimu 👇👇👇👇
View attachment 2868255
Ndiyo maana tumepewa akiliUhuru lazima uwe na limits na kiasi.
Kuna maroho mle, wale ni watu ambao wako possessed na Roho waovu,Hii addiction ni mbaya sana
Huna ulijualo,Hekaya za kutungwa na watumwa wa Kiyahudi walipokuwa Babylon nani kawaona jini,shetani au mapepo zaidi ya kuwa ni viumbe wa kufikirika.
Zamani Umasaini,Arusha watu walikuwa wanatishiwa kiumbe chenye mguu mmoja wa chuma akiitwa NAUNER sijui ameishia wapi 😁
Kama hawana jinsia ilikuwaje wakawatamani mabinti wa wanadamu na kuzaa naoKiimani ;
Malaika hawana jinsia ya kike wala kiume, hawazaliani ni Mungu kawaumba wapo jinsi walivyo, wao ni malaika.
Majini wana jinsia , ndio hao unasema ni mapepo na wanazaliana na wanaugua na wanakufa japo jini anaweza kuishi hadi miaka 2000 kama sikosei , wanaweza kuzini na mtu bila huyo kujitambua au kumzini bila huyo kuweza kujihami
, majini na malaika ni viumbe tofauti ,
baadhi ya wanaojiita manabii hutumia majini kuponya wagonjwa na vilema na kufanya miujiza mbalimbali kama kwa mazingaombwe. Pia wapo watu ambao huwatumia majini hao katika mambo yao kama vile kutafuta mali, watoto n.k.
Jini linaweza kumuingia mtu hata kwa njia ya hewa.
Majini wana tabia kama binadamu tu, wivu, dhuluma, uongo n.k
Malaika wameumbwa kwa nuru, kiimani katika dini zote hata movies, malaika anapotokea kunakuwa na mwanga mkali sana unaong'aa hauna mfano.
![]()
Angel & Mary.
kusema majini ni malaika walioasi unakua unakimbia na gari speed 180 halafu ghafla unatoka nje ya barabara na kuingia vichakani.
Utasikia mtu ana jini mahaba na kuota ndoto anafanya ngono, ndio hayo majini, hadi kufanya ngono na mtu ina maana yana jinsia za kike na kiume.
Lakini toka lini ukasikia malaika wanazaliana, au malaika mtoto.
Kwenye biblia tunaweza kuona malaika wameelezewa katika jinsia ya kiume na majina ya kiume, sidhani kama kuna malaika wengine waliotajwa kwa majina zaidi ya hao wawili ambao ni Mikaeli na Gabrieli kama sijasahau.
Unaweza kuwa na doubt kwa nini ni wa kiume wakati nimesema hawana jinsia?
Ni kwa sababu katika kipindi hiko mwanamke alikuwa hachukuliwi uzito au niseme tu kulikuwa ni mifumo dume, ndio maana katika sensa zao walihesabiwa wanaume tu.(Soma kitabu cha Musa Hesabu endapo alifanya sensa ya kitaifa na waliohesabiwa ni wanaume tu.)
Hivyo malaika kutokea katika umbile la kiume na muonekano wa kiume ni kama kuleta uzito wa ujumbe waliokuwa wanaupeleka kwa watu hao wa kipindi hiko kwa sababu walikuwa ni wabishi na walidharau wanawake na hawakuwasikiliza. Hivyo kutokea katika umbile la kiume ni kama dominant form.
Malaika hawana any specific human form, sana sana wakitokea hata leo itakuwa katika umbile na muonekano wa kiume au kike. Hivyo hadi hapo ulipo unakuta ulishakutana na malaika mara kadhaa na hukufahamu.
Wapi huko Malaika alitamani mabinti wa wanadamu? Malaika hawana jinsia na hawawezi kutamani.Kama hawana jinsia ilikuwaje wakawatamani mabinti wa wanadamu na kuzaa nao
Jiulize wewe jini mahaba, Malaika wa Giza Wana JINSIA au hawana!!Wapi huko Malaika alitamani mabinti wa wanadamu? Malaika hawana jinsia na hawawezi kutamani.
Roho haina mwili wewe nawe u mtumishi wa Mungu wa namna gani kama hiko kitu kidogo tu hujui? Yesu alishasema "malaika hawazai wala hawaoia kwa maana hawana miili". Acha blah blah dogo.Jiulize wewe jini madhabahu, Malaika wa Giza Wana JINSIA au hawana!!
Acha ujuaji,Roho haina mwili wewe nawe u mtumishi wa Mungu wa namna gani kama hiko kitu kidogo tu hujui? Yesu alishasema "malaika hawazai wala hawaoia kwa maana hawana miili". Acha blah blah dogo.
Wanazaaje wakati hawana miili ndio maana wanaishi kwenye miili ya viumbe kama Binadamu, wanyama na kwenye miti? Acha uongo dogo.Acha ujuaji,
Malaika wa Nuru, ndio hawafanyi mambo hayo,
Ila Malaika wa Giza wanazaa na wanadamu Hadi hivi Leo.
Waulize Islam, wanajua vizuri mambo hayo.
Tafuta Maarifa Ukiwa hai!!Wanazaaje wakati hawana miili ndio maana wanaishi kwenye miili ya viumbe kama Binadamu, wanyama na kwenye miti? Acha uongo dogo.
Usiniulize maswali yanayotokana.na.uvivu wako wa kusoma vitabu.Wapi huko Malaika alitamani mabinti wa wanadamu? Malaika hawana jinsia na hawawezi kutamani.