Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Wala sitaki niwe tayari mkuu , huu ukichaa wa imani tuujadili apa ,mimi ni jini au sio jini?
Utajua mwenyewe kama ni Pepo au sio Pepo ila kwa umri wangu hamuwezi nipotosha. Tunafahamu kuna mapepo kwa jinsi ya mwili, kuna mapepo yanayowavagaa watu, poa kuna watu ambao ni mawakala wa Ibilisi na sifa yao kubwa ni kupinga chochote kihususho Mungu. Byeeeeeee
 
Unaelewa tofauti kati ya imani na uhalisia?
Hakuna mwenye nia ya kupotosha imani yako , shida inakuja pale unapotaka kufanya imani yako kuwa uhalisia kwa kila mtu , wakati dunia ina mamilioni ya imani zisizo fanana .

Unapokuja jukwaa la wazi kama hili lisilo na mregwa wa itikadi fulani ,ukaleta habari ya imani yako lazima ipigwe na ikubalike kwa wenye imani kama yako.

Kuamini mimi ni jini , au pepo ni haki yako kabisa , kwa sababu nimeenda kinyume na unachokiamini na mmefundishwa hivyo , vivyo hivyo na wewe ni jini na kafiri kabisa kwa mujibu wa imani ya Kiislamu , hilo wala halina tatzo.
 
Kwa hiyo umeelewa hakuna kweli ,ndio maana umeona wewe ufanye kazi ya kuniamnisha sio ?

Dhibitisha Mungu muweza wa yote yupo.
MUNGU alinipa angalizo kubishana na watu, alinipa maono yafuatayo.

Nilikuwa nimetoka kubishana sana na mtu mtandaoni, Mimi nilidhani namuelewesha kumbe SI mtu.

Nilipata maono, Niko Baharini, nikaona Samaki wameletwa na mawimbi ya Bahari, Kwa mbali walionekana ni wazima wanachezacheza, nilipowakaribia kumbe hawakuwa Samaki hai walikuwa wamekufa, nikawaacha.

Hi yo nawe nimeona, umenifollow kabisa, KAZI Yako ni kupingana nami katika Kila niandikacho.

Siwezi kubishana tena.

Nina KAZI kubwa sana ya kufanya kueneza ujumbe wa MUNGU.

Kame SITABISHANA.

Ubarkikiwe.
 
hii ni chai mapepo hayazaliwi mapepo ni malaika walioasi toka mbinguni...wanaumri mkubwa kupita mwanadamu yeyote yule....
 
Kuna Ushuhuda mzuri wa mama mmoja anaitwa Funimilayo Adebayo ni muinjilusti wa Kinaijeria unaitwa miaka 990 kwenye ufalme wa giza. Anaelezea haya akiwa ni mmojawapo wa hao wanadamu.
Mama huyo hakuwa Pepo katika form ya WANADAMU. Alikuwa mwanadamu aliyechukuliwa msukule na kumtumikia kuzimu.

MUNGU huruhusu watu wapelekwe kutumia gizani Ili wajue yanayoendelea huko Ili aje kuwaokoa na warudi kushuhudia.

Mchungaji Amiel katekela ni MMOJA wa watu aina hiyo.

Pepo katika form ya WANADAMU hawezi kuokoka maana wale Si WANADAMU, ni mapepo na mashetani, na unajua kuwa Malaika walioasi hawana nafasi kutubu.

TOBA ni Kwa WANADAMU basi.

Ubarikiwe
 
Ndo nasemaje,

Muda wa kukuaminisha kuwa Mungu yupo au la Mimi Sina.

Ila IPO siku utajua.
 
Ndo nasemaje,

Muda wa kukuaminisha kuwa Mungu yupo au la Mimi Sina.

Ila IPO siku utajua.
Mungu hayupo katika uhalisia wa kila mtu, yupo kichwani kwako tu sijabisha hayupo kwako , yupo kwa wanao amini tu humo ndani ya vichwa vyao ndio maana ninavyotafsiri vitu mimi sio kama wewe unae niona mpaka mimi ni jini ambae kiuhalisia hata huyo jini hatupo.


Chochote utakacho weka humu nitakipinga ama kukikubali kulingna na uhalisia wake haijalishi unajibu ama haujibu , kwa kuzingatia utu wako labda uniweke ignore list ambayo pia ni haki yako.
 
Kwa umri wangu wa 40's kumtumikia Mungu na kutumika madhabahuni tola 1990's nilipoanza utumishi, nawajua ndani nje nyie mawakala. Hamnidanganyi wala nipotosha. Pole, jaribu kwingine.
Mimi Kuna mmoja nilikuwa nikkijibizana nae mara Kwa mara,

Nilipata maono kuwa hakuwa mtu, ni hao hao Mapepo katika form ya WANADAMU.

Liliona katika maono Samaki pwani, na nilikuwa mvuvi katika maono hayo, nikafurahi kuona Samaki wameletwa wenyewe na maji ya Bahari,

Nilipowakaribia nikidhani ni hai kumbe walikuwa wamekufa na wanatoa uvundo, nikaachana nao.

Tangu siku hiyo, mtu akinibishia kuhusu nilichoandika, Huwa sipotezi sana muda kubishana nae.

UBARIKIWE.
 
duuu kwamba Mungu amekuonyesha duuu walokole mna kazi sana ......mnaongozwa na maona badala ya kuongozwa na maandiko...utasikia mungu amenioyesha nimuoe huyu mama muimba kwaya πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜.......MUNGU ALISHAWAOTESHA WAYAHUDI wakaandika biblia iliyovuviwa inatosha...sasa hawa wachaga waliovuviwa wanatoka wap tena??
 
duuuh leta ushahid kutoka katika biblia..... mapepo yazaliwe kwel?? ulimeisoma wap hyo
(Luke 23:3)

Enyi nyoka, Wana wa majoka, mtaikimbiaje HUKUMU ya Jehanum?

(Luke 3:7)
Basi..........
Enyi wazao wa Nyoka, ni nanialiyewaonya ninyi kuikimbia hasira itakayokuja?

(Mathew 12:34)

Enyi wazao wa Nyoka, mnawezaje kunena mema mkiwa wabaya?
 
Kubishana nanyi nilishaonywa na Mungu.

Amua kuamini, au kutoamini, ni uamuzi wako.
 
duuuh leta ushahid kutoka katika biblia..... mapepo yazaliwe kwel?? ulimeisoma wap hyo
Gogu na magogu pia ndio hao Mapepo katika form ya WANADAMU

Soma (Ufunuo 20:8) na (Ezekiel 38:2).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…