Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MkuuMbona umepanic?
Yesu yupo, alikufa na kufufuka, ndiye aliyeleta ujumbe huu!!
Washika dini wanakuwa na ukichaa, ila ukimshika Mungu unawakuwa na akili njema.Unanikaribisha kwenye ukichaa mkuu🤣🤣🤣
Apo kuna kichaa anae meza dawa na kichaa asiye meza dawa🤣🤣🤣Washika dini wanakuwa na ukichaa, ila ukimshika Mungu unawakuwa na akili njema.
Bahati mbaya wengi wetu tunapenda dini kuliko kumpenda Mungu.
Mithali 1:7 SUV
[7] Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
Unabishana na Mimi au Yesu?Mkuu
Nashangaa inakuaje mwanadamu anafikiria vitu kichwani kwake halafu anaanza kuwaita huyu pepo,yule pepo,etc eti Yesu kakwambia
How do we believe that illusions?
Huyo Yesu hayupo hapa akatupa huo ushahidi
Unasema alikufa akarudi,yuko wapi aripoti hapa tumuulize maswali maana inaonekana wewe ndio wakili wake.
Cha kushangaza ni LINI aliongea na wewe akakukabidhi nyaraka zinaonesha hawa wanadamu ni mapepo?
Hii ndio hatari ya dini
Maana ukimuita mtu pepo kinachofuata ni chuki and divisions,dini ni hatari kama ukoma hasa christianity,worst people!
MADA haiongelei mapepo katika miili ya kiroho.Mapepo hayana jinsia yoyote
Wote vichaa sio?!Apo kuna kichaa anae meza dawa na kichaa asiye meza dawa🤣🤣🤣
Mr msolo wewe unaonaje🤗Wote vichaa sio?!
Nakubaliana na wewe, kuna vitu ukifanya visivyo vya kawaida, hata kichaa wa dawa atakuona kichaa.Mr msolo wewe unaonaje🤗
Nabishana na weweUnabishana na Mimi au Yesu?
duh bora wanaomeza dawa kwa kwel.Nakubaliana na wewe, kuna vitu ukifanya visivyo vya kawaida, hata kichaa wa dawa atakuona kichaa.
Simu kitu gani mbele za Mungu wewe nakati historically Wamarekani walienda bara mfu Antarctica walizamia ndani na kukuta mabaki ya simu, smart tv n.k ndipo nao waka-renovate?Mkuu ungeyasema haya ingekua mimi ni kijana mdgo tu , hii simu unayotumia leo miaka 30 tu nyuma ungeizungumzia ungeonekana mchawi na ni miujiza ya kutisha.
Hao watu wapo wengi, hata kwenye ukoo wako, Jirani, au kazini huwezi mkosa.
Nadhani uache kukurupuka,Mkuu
Nashangaa inakuaje mwanadamu anafikiria vitu kichwani kwake halafu anaanza kuwaita huyu pepo,yule pepo,etc eti Yesu kakwambia
How do we believe that illusions?
Huyo Yesu hayupo hapa akatupa huo ushahidi
Unasema alikufa akarudi,yuko wapi aripoti hapa tumuulize maswali maana inaonekana wewe ndio wakili wake.
Cha kushangaza ni LINI aliongea na wewe akakukabidhi nyaraka zinaonesha hawa wanadamu ni mapepo?
Hii ndio hatari ya dini
Maana ukimuita mtu pepo kinachofuata ni chuki and divisions,dini ni hatari kama ukoma hasa christianity,worst people!
Kunywa maji sasa, upunguze hasira.Haya "macho ya rohoni" ndio chanzo cha matatizo yote
How do we believe "macho yako ya rohoni" ndio sahihi?
Wewe kwenye ndoto zako ukaona mama yako ay jirani yako ndio huyo pepo,huoni ni vita na chuki tu ndio zinafuata?
How do we actually believe this "macho ya rohoni" nonsense?
Hii ndio mwanzo wa maneno ya chuki na kuua na kubanika watu live sababu "mungu kakuonesha rohoni"!
Dini is the source of all evils
Wamarekani walienda bara mfu la Antarctica walizami ndani na kukuta mabaki ya simu, smart TV na nk .Simu kitu gani mbele za Mungu wewe nakati historically Wamarekani walienda bara mfu Antarctica walizamia ndani na kukuta mabaki ya simu, smart tv n.k ndipo nao waka-renovate?
Acheni kuwatukuza hao Watu sana ilihali hata miongoni mwao walikaza mafuvu lakini wakasarenda na kukubali ukuu wa Mungu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pepo katika fomu ya Binadamu, ushaambiwa walifanya ngono na Binadamu wakazaa Wanefili ambao ni Binadamu miraba minne hawajawahi kuwepo wa mfano wake na wenye akli na maarifa kisawasawa, unaendelea tu kukaza fuvu? Toka Pepo kwa jina la Yesu.wazao wa nyoka ni mapepo??
🤣🤣🤣🤣 nimecheka mpka kamasi limepanda kama pulizo.Pepo katika fomu ya Binadamu, ushaambiwa walifanya ngono na Binadamu wakazaa Wanefili ambao ni Binadamu miraba minne hawajawahi kuwepo wa mfano wake na wenye akli na maarifa kisawasawa, unaendelea tu kukaza fuvu? Toka Pepo kwa jina la Yesu.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hizo habari umetoa toka kwa kina Rachel mushala na zipporah mushala RabbonAsante Kwa mchango mzuri.
Hawa wanaoongelewa kwenye mada Si majini au mapepo katika mwili wa kiroho HAPANA.
Hawa ni watu kabisa, wamezaliwa kabisa, tunaishi nao, tunasali nao, ni wanafunzi wenzetu , kazini wapo nk nk
Wana miili ya WANADAMU kabisa ila Si WANADAMU.
Ni Pepo Walio katika form au mwili kabisa wa mwanadamu.
Baadhi Wametajwa humo kwenye ushuhuda huo.
Amen