Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

Wajue Mapepo katika maumbo ya Wanadamu

1. Video uko sahihi kabisa 100% kuna tamthilia inaitwa "Lucifer" niliiangalia na nilijiridhisha imeigizwa na Mapepo kabisa maana nilikuwa nasumbuliwa sana na ndoto za za kishetani zisizoisha usiku kucha hata nikiwa nimefunga. Siku nilipochoma CD moto ndipo zilipokomea hapo jumla.

2. Pornography videos zilinitesa sana kupiga punyeto na nilijitahidi kuacha kwa nguvu zangu kibinadamu ila nilichemka, niliingia rasmi kwenye maombi ya kufunga ndipo hapo niliona nguvu za Mungu zilivyo kubwa zaidi kuliko Shetani. Nilifunga wiki 1 tu kwa imani na tangu 2013 niliacha kabisa punyeto hadi leo hii 2024.

Mungu akubariki sana Mtumishi wake uzidi kueneza injili yake vyema.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mm sikuhizi siaangali movie za horror maana nahisi kabsa kuna roho za kishetan Zina niingia
 
Pepo katika fomu ya Binadamu, ushaambiwa walifanya ngono na Binadamu wakazaa Wanefili ambao ni Binadamu miraba minne hawajawahi kuwepo wa mfano wake na wenye akli na maarifa kisawasawa, unaendelea tu kukaza fuvu? Toka Pepo kwa jina la Yesu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
umesoma fungu gan au hili fungu ndo linakuchanganya??......katika hili fungu anaposema wana wa Mungu anamaanisha uzao wa sethi...na wana wa wanadamu ni ukoo wa kaini....mapepo sio wana wa Mungu ....nenda taratibu
 
Attachments

  • Screenshot_20240105-184459_Biblia.jpg
    Screenshot_20240105-184459_Biblia.jpg
    185.2 KB · Views: 4
Na mtumishi wa Mungu,Mungu anampa kibali anaibariki hiyo ndoa ya mapepo?
Kwanini hamtakagi kusoma Biblia na kuyachunguza Maandiko Matakatifu inavyopaswa kama Waberoya?

Yani kila kitu muwe mnatafuniwa na kumezewa, kwa namna hiyo hamuwezi kulishwa matango pori kiimani na kuwa Wafuasi wa Shetani?

KUTAMBUA WACHUNGAJI FEKI [emoji116]

2 WAKORINTHO 11:14-15. 1 YOHANA 4:1-6. MATHAYO 7:16-23. ISAYA 8:19-20.

KUCHUNGUZA BIBLIA [emoji116]

MATENDO YA MITUME 17:11.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Navyo elewa ni kwamba, Majini na Fallen Angles ni Vitu tofauti
 
Nadhani uache kukurupuka,

Soma thread Hadi mwisho kabla ya kuniattack.
Nakushangaa kama mwanadamu unasoma kitabu kinakwambia ukawaambie watu ni mapepo

Eti mungu amekufunulia

Amekufunulia kubatiza watu mapepo?

Hizi ni illusions na ni very poor work on your part to believe a book which tells you usingizie watu ni mapepo
 
Mm sikuhizi siaangali movie za horror maana nahisi kabsa kuna roho za kishetan Zina niingia
Watu wabishi tu afu kila siku wanakuja humu JF kutusumbua "Naombeni ushauri jinsi ya kuacha punyeto" ila tukiweka shuhuda kama hizi wala hawazingatii na kujifunza...hata hivyo kila Mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe kukinywea kikombe cha majaribu na kuokolewa kwa neema na rehema za Mungu.

Kupanga ni kuchagua....[emoji119]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Nakushangaa kama mwanadamu unasoma kitabu kinakwambia ukawaambie watu ni mapepo

Eti mungu amekufunulia

Amekufunulia kubatiza watu mapepo?

Hizi ni illusions na ni very poor work on your part to believe a book which tells you usingizie watu ni mapepo
Unamaanisha wewe ni Pepo nimekusingizia kwamba ni binadamu? Au sijakuelewa.
 
Nakushangaa kama mwanadamu unasoma kitabu kinakwambia ukawaambie watu ni mapepo

Eti mungu amekufunulia

Amekufunulia kubatiza watu mapepo?

Hizi ni illusions na ni very poor work on your part to believe a book which tells you usingizie watu ni mapepo
Na manavyopinga mnazidi kuwavuruga kabisa .
 
Watu wabishi tu afu kila siku wanakuja humu JF kutusumbua "Naombeni ushauri jinsi ya kuacha punyeto" ila tukiweka shuhuda kama hizi wala hawazingatii na kujifunza...hata hivyo kila Mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe kukinywea kikombe cha majaribu na kuokolewa kwa neema na rehema za Mungu.

Kupanga ni kuchagua....[emoji119]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Mbona mimi nabisha na hata punyeto sijui inapigwaje mkuu[emoji848]
 
Na manavyopinga mnazidi kuwavuruga kabisa .
Lazima tupinge

Haiwezekani eti uite wanadamu wenzio kwenye hii dunia tuliyopo eti ni mapepo walio na miili ya wanadamu tukiuliza umetoa wapi uamuzi huo anajibu eti "mungu kamfunulia"....like really?
 
umesoma fungu gan au hili fungu ndo linakuchanganya??......katika hili fungu anaposema wana wa Mungu anamaanisha uzao wa sethi...na wana wa wanadamu ni ukoo wa kaini....mapepo sio wana wa Mungu ....nenda taratibu
Unadhani mambo yote yangeandikwa katika Biblia yangetosha?

Nami nakujibu kwa kukuuliza;

Kaini alipomuua Abeli alitoroka na kwenda mbali kujificha uso wa Mungu, Mungu alipomuona Kaini alimuwekea alama ili asiuwawe na Watu wengine.

MASWALI:

1. Kaini na Abeli ndiyo uzao wa kwanza wa Adam, Mungu alimuwekea alama asiuwawe na akina nani?

2. Kaini alienda kuishi mji mwingine na Ke yupi hadi akapata naye uzao ilihali Adam na Ever walikuwa hawajapata uzao mwingine na palikuwa hakuna Watu wengine tofauti na Adam na Ever duniani?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Lazima tupinge

Haiwezekani eti uite wanadamu wenzio kwenye hii dunia tuliyopo eti ni mapepo walio na miili ya wanadamu tukiuliza umetoa wapi uamuzi huo anajibu eti "mungu kamfunulia"....like really?
Mkuu kuwapinga tu , na wewe ni pepo ama unatumika na mapepo🤣
 
Back
Top Bottom