let the caged bird sings
JF-Expert Member
- Sep 19, 2020
- 3,699
- 8,857
Kanisa la mitume hapa halijatajwa hapa hata kama limetakwa litakuwa limetajwa kimakosa ama kwa namna moja ama nyingine tu.Wafuasi wa kanisa pekee la mitume njooni mnaitwa huku na nabii na mtume Rabbon.
View attachment 2861288
Nina Kubaliana na kiasi kikubwa na mleta mada.
Mimi binafsi uwa najiuliza hivi" kadili muda unavyoenda ndivyo watu wenye uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo ndiyo unavyopungua at the same time technolojia inazidi kupaa kwa kasi. hawa wanaoipaisha technology kwa kasi hii wanaishi dunia ipi?ni dunia Hii hii tunayokutana nayo Jf,face book ama twitter? ama wana dunia yao nyingine?.
Ebu fikiria jambo moja, wewe ungelikuwa kwenye list ya crew iliyovumbua ndege, simu etc ungelichangia Idea gani?.
Dunia ya sasa mtu ana degree 4 etc lakini reasoning yake niya kipumbavu hata darasa la pili wanaweza ona makosa ndani ya reasoning yake.
So, hawa wanaoipaisha tech wanaishi dunia hipi?.
Bible inasema siku za mwisho maarifa ya yataongezeka bila kutaja watakao ya ongeza hayo maarifa ni akina nani, ni binadamu ama Fallen angels!.
Binadamu halisi hakuumbwa na uwezo kufanya haya tunayoyaona leo hii
, tunachokiona leo ni FORBIDDEN KNOWLEDGE na kuna kundi la watu wana access nayo.
Watu hao uzaliwa ndani ya family zetu na kuishi kama sisi.
Shauri yako.