Ikiwa u uzao wa WANADAMU wasiochanganya uzao na mapepo, ni Rahisi kwako kuelewa na kuokoka sababu asili ya WANADAMU waliotokana na Pumzi ya Mungu ni Mbinguni.
Lakini ikiwa wewe u uzao wa Nyoka, Pepo katika form ya WANADAMU, kamwe huwezi kuokoka na Mbinguni huwezi ingia maana kule ni Patakatifu.
Wana wa Giza ni dhahiri, na Wana wa Nuru ni dhahiri pia.
Imeandikwa, mpanzi alipomaliza kupanda mbegu, adui naye alikuja usiku na kupanda magugu,
Malaika wakamwomba Mungu awaruhusu waende wakaondoe magugu shambani, Mpanzi ambaye ni MUNGU akawazuia kung'oa magugu sababu watang'oa na mbegu nzuri.
In short sifa mojawapo ya Pepo katika form ya WANADAMU hawaipendi kusikia habari za Mungu, Yesu au Mbinguni,INJILI.
Wao hufurahia sana UOVU na mambo ya Giza kuliko Nuru.
Bt naamini u mwana wa Mungu.
Amen