Second July
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 234
- 323
Team Pac hapaaaa....
Hii ni kama Barcelona vs Bayern Munich.
Daahhh I can't wait....
Ni wakati wa Floyd kuudhihirisha ulimwengu kwamba yeye ni bingwa wa dunia kwenye masumbwi na watu weusi kua tunaweza
umeona eeeeehhhhh
Yan haya matukio mawil ya huu mpambano wa hawa wananume wawil, pamoja na game ya Barca na Bayern yataufanya mwezi wa tano uwe wa burudan kubwa sn kwangu binamu. Ni kuomba uzima tu......
yaani we acha
ila mi kura yangu naipeleka kwa bayern munich
na pac
Kwa Man Pac tuko pamoja, hapo kwa hizo FCB mbili, mi nawapa 50-50, ila napenda Barcelona washinde....
Kumbe unaweza kurusha ngumi, namwonea huruma mwenzangu.
hahaaaaaaa
yani mie mpaka sasa finally najua bayern na realyy
barca wasahau tu
Real madrid hawawez kutufikia sie barca weweeeeeee Messi oyeeeeeee