Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Wajue mastaa wakubwa duniani walio Team Pacuiao vs Team Mayweather, na maajabu yake.

Team Pac hapaaaa....

Hii ni kama Barcelona vs Bayern Munich.

Daahhh I can't wait....
 
Ni wakati wa Floyd kuudhihirisha ulimwengu kwamba yeye ni bingwa wa dunia kwenye masumbwi na watu weusi kua tunaweza
 
Mimi nipo team ya mbunge aiseeee yani manpac anafanya kibabiloni anampiga mtu kwao mbele za warembo wake hao
 
Ni wakati wa Floyd kuudhihirisha ulimwengu kwamba yeye ni bingwa wa dunia kwenye masumbwi na watu weusi kua tunaweza

Mmmhhh suala la "watu weus tunaweza" limetoka wap tena. Hii lugha inakuwa km imekaa kibaguz flan vile.
Ngoja tusubir mpambano wa nguvu huu mkuu....
 
Yan haya matukio mawil ya huu mpambano wa hawa wananume wawil, pamoja na game ya Barca na Bayern yataufanya mwezi wa tano uwe wa burudan kubwa sn kwangu binamu. Ni kuomba uzima tu......

yaani we acha
ila mi kura yangu naipeleka kwa bayern munich
na pac
 
Me ni team pac niwekepo kwenye orodha nishamdunda mtu huku kitaaa acha tu
 
Wakuu niwaulize hili pambano wataonyesha live?
Na itakuwa saa ngapi kwa mujibu wa saa za huku kwetu bongo?
 
Wanna see a couple of rich guys demonstrate their richness in ridiculous fashion?

Well, Diddy and Mark Wahlberg have made a $250,000 bet on the Mayweather vs. Pacquiao fight ... like it ain't no thing.

Diddy's got Floyd. Mark's got PacMan.


Daaahh karibia Milion 450 hapo wanaume wame-bet...

Mkuu Snipa upo hapo
 
Back
Top Bottom