Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kuna clubs matajiri katika bara la Africa zikiweno Al Ahly, Zamelek na Esperance lakini zinaendeshwa kwa mtindo wa wanachama. Kuna timu zinazoaendeshwa kwa umiliki wa mtu kununua au kuweka mzigo na kuwa mmoja wa wamiliki na zingine kuwa mmiliki mwenye uwezo hata wa kuiuza.
Kabla sijaendelea kuutandaza uzi nitakua mchoyo wa fashila nisipofanya acknowledgment kwa Muasisi wa hili suala bongo ambaye kwa uelewa wangu mdogo wa mpira najua ni Alex Kajumulo aliyeinunuaga Sigara FC kama sijakosea na kuiita Kajumulo FC then the rest followed suit.
Sasa kwa Afrika wapo wengi ila notable ones na timu kubwa ni wafutao:-
#Mohamed Dewji (MO)
Yes, ndio nyumbani kwanza, Huyu ni mwanasiasa wa zamani na mmiliki wa Simba Sports Club ya Tanzania kwa hisa 49%. Ana utajiri unaokadiriwa kuwa USD 1.5 billion
#Moise Katumbi
Bwana huyu ndio mmiliki wa TP Mazembe, timu yenye mafanikio zaidi Afrika katika kada za wamiliki, kaijengea uwanja wenye thaman ya zaidi ya USD 35milioni, mmiliki tajiri mwenye private jets mbili. Akimtaka mchezaji anakufuata na private jet sijui unakataaje. Katumbi ni mwanasiasa na ana nguvu kubwa sana Katanga na Congo DRC
#Patrice Matsepe
Sina haja ya kumpaka mafuta sana huyu billionea la South Africa na Afrika kwa ujumla na sasa boss wa CAF. Kifupi ni mmiliki wa Mamelodi Sundowns.
#Irvin Khoza
Ni mwenyekiti wa timu ya Orlando Pirates na ni mdau mkubwa sana wa mpira wa Afrika Kusini.
#Kaizer Motaung
Huyu mzee ni bwanyenye lenye mkwanja, sina yakuongea mengi hapa Simba mnaijua the Kaizer Chiefs
#Kunle Soname
Billionea huyu anamiliki timu ya Remo Stars Football Stars, haina jina kubwa kwenye uwanda wa CAF huko ila pia ni mmiliki wa Bet9ja na timu ya Clube Desportivo Feirense ya Ureno.
Leta wengine….,ndoto za Manji zilikatishwa….ila leo sasa tujue ni vita ya Irvin Khoza vs Mo pale Soweto.