Wajue matajiri wamiliki wa Football Clubs Africa

Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
5,778
Reaction score
4,859
Kuna clubs matajiri katika bara la Africa zikiweno Al Ahly, Zamelek na Esperance lakini zinaendeshwa kwa mtindo wa wanachama. Kuna timu zinazoaendeshwa kwa umiliki wa mtu kununua au kuweka mzigo na kuwa mmoja wa wamiliki na zingine kuwa mmiliki mwenye uwezo hata wa kuiuza.

Kabla sijaendelea kuutandaza uzi nitakua mchoyo wa fashila nisipofanya acknowledgment kwa Muasisi wa hili suala bongo ambaye kwa uelewa wangu mdogo wa mpira najua ni Alex Kajumulo aliyeinunuaga Sigara FC kama sijakosea na kuiita Kajumulo FC then the rest followed suit.

Sasa kwa Afrika wapo wengi ila notable ones na timu kubwa ni wafutao:-

#Mohamed Dewji (MO)
Yes, ndio nyumbani kwanza, Huyu ni mwanasiasa wa zamani na mmiliki wa Simba Sports Club ya Tanzania kwa hisa 49%. Ana utajiri unaokadiriwa kuwa USD 1.5 billion

#Moise Katumbi
Bwana huyu ndio mmiliki wa TP Mazembe, timu yenye mafanikio zaidi Afrika katika kada za wamiliki, kaijengea uwanja wenye thaman ya zaidi ya USD 35milioni, mmiliki tajiri mwenye private jets mbili. Akimtaka mchezaji anakufuata na private jet sijui unakataaje. Katumbi ni mwanasiasa na ana nguvu kubwa sana Katanga na Congo DRC

#Patrice Matsepe
Sina haja ya kumpaka mafuta sana huyu billionea la South Africa na Afrika kwa ujumla na sasa boss wa CAF. Kifupi ni mmiliki wa Mamelodi Sundowns.

#Irvin Khoza
Ni mwenyekiti wa timu ya Orlando Pirates na ni mdau mkubwa sana wa mpira wa Afrika Kusini.

#Kaizer Motaung
Huyu mzee ni bwanyenye lenye mkwanja, sina yakuongea mengi hapa Simba mnaijua the Kaizer Chiefs

#Kunle Soname
Billionea huyu anamiliki timu ya Remo Stars Football Stars, haina jina kubwa kwenye uwanda wa CAF huko ila pia ni mmiliki wa Bet9ja na timu ya Clube Desportivo Feirense ya Ureno.

Leta wengine….,ndoto za Manji zilikatishwa….ila leo sasa tujue ni vita ya Irvin Khoza vs Mo pale Soweto.
 
Chikumbalanga:huyu sina cha kuongea wengi wanamfahamu,ana ukwasi wa pesa ndefu anazoingiza kupitia social network,huyu ndo mmiliki wa timu ya Mbeya.[emoji125][emoji125][emoji125]
 
Kukopi na kupest ndio tatizo linapoanzia... mpaka unaisahau timu ya nyumbani... na timu nyingine za arabs...
 
Mwigilu Nchemba -DTB
Said Bakhresa-Azam fc
Freyzem-Jf fc.

Kweli aisee Mzee Bakhressa ingawa yeye hayuko direct ila wanae wanakichapa.

Sijawaweka wanasiasa wa timu za kutafutia na kumaintain majimbo wa uchwara zikiwemo Gwambina na Singinda United na sasa DTB.
 
kukopi na kupest ndio tatizo linapo anzia... mpka unaisahau timu ya nyumbani... na timu nyingine za arabs...

Timu gani ya nyumbani kwenu? Wale matajiri wenu wa uchochoroni? Arabs Afrika embu ziweke kwa majina na umiliki hapa.
 
Kuna clubs matajiri katika bara la Africa zikiweno Al Ahly, Zamelek na Esperance lakini zinaendeshwa kwa mtindo wa wanachama. Kuna timu zinazoaendeshwa kwa umiliki wa mtu kununua au kuweka mzigo na kuwa mmoja wa wamiliki na zingine kuwa mmiliki mwenye uwezo hata wa kuiuza.

Kabla sijaendelea kuutandaza uzi nitakua mchoyo wa fashila nisipofanya acknowledgment kwa Muasisi wa hili suala bongo ambaye kwa uelewa wangu mdogo wa mpira najua ni Alex Kajumulo aliyeinunuaga Sigara FC kama sijakosea na kuiita Kajumulo FC then the rest followed suit.

Sasa kwa Afrika wapo wengi ila notable ones na timu kubwa ni wafutao:-

#Mohamed Dewji (MO)
Yes, ndio nyumbani kwanza, Huyu ni mwanasiasa wa zamani na mmiliki wa Simba Sports Club ya Tanzania kwa hisa 49%. Ana utajiri unaokadiriwa kuwa USD 1.5 billion

#Moise Katumbi
Bwana huyu ndio mmiliki wa TP Mazembe, timu yenye mafanikio zaidi Afrika katika kada za wamiliki, kaijengea uwanja wenye thaman ya zaidi ya USD 35milioni, mmiliki tajiri mwenye private jets mbili. Akimtaka mchezaji anakufuata na private jet sijui unakataaje. Katumbi ni mwanasiasa na ana nguvu kubwa sana Katanga na Congo DRC

#Patrice Matsepe
Sina haja ya kumpaka mafuta sana huyu billionea la South Africa na Afrika kwa ujumla na sasa boss wa CAF. Kifupi ni mmiliki wa Mamelodi Sundowns.

#Irvin Khoza
Ni mwenyekiti wa timu ya Orlando Pirates na ni mdau mkubwa sana wa mpira wa Afrika Kusini.

#Kaizer Motaung
Huyu mzee ni bwanyenye lenye mkwanja, sina yakuongea mengi hapa Simba mnaijua the Kaizer Chiefs

#Kunle Soname
Billionea huyu anamiliki timu ya Remo Stars Football Stars, haina jina kubwa kwenye uwanda wa CAF huko ila pia ni mmiliki wa Bet9ja na timu ya Clube Desportivo Feirense ya Ureno.

Leta wengine….,ndoto za Manji zilikatishwa….ila leo sasa tujue ni vita ya Irvin Khoza vs Mo pale Soweto.
Tangu lini mtu mwenye hisa 49% ya 100%, akawa mmiliki wa kitu! Uache kumtaja Bakhresa anaye imiliki Azam Fc kwa 100%, uende kumtaja Mo janja janja!

Kuwa serious bhana. Simba ni timu ya wanachama kama ilivyo kwa Yanga! Na wala siyo mali ya mtu mmoja. Huko kwingine naweza kukubaliana na wewe. Ila kwa simba, naona umepuyanga.
 
Dah aisee. Yanga simmesha Chukua ubingwa mbona nongwa. Yes 49/100 kama ni mmoja ama consortium yake ni inamiliki basi yeye ndio ana say aka kauli kama individual hence mmiliki. Nani ako na influence ya Simba as an individual? Ni Mo. na hata Chelsea ama na Manchester City enzi hizo Abromovich na Sheikh Mansoor tena aliyenunua stake ya 13.7% ndio anahesabika mmiliki.

Aisee najitolea njoo nikupige darasa la ownership na shares with investment linavokua katika PLC. Usifikirie kama umiliki wa biashara ya mshua in numbers
 
Kwa hiyo wanachama wa simba wenye hisa 51% kwenye klabu yao, hawana sauti/nguvu mbele ya Moo! Yaani Moo ndiye mmiliki wa simba kwa sasa! Nilijua ni mdhamini tu.
 
Tangu lini mtu mwenye hisa 49% ya 100%, akawa mmiliki wa kitu! Uache kumtaja Bakhresa anaye imiliki Azam Fc kwa 100%, uende kumtaja Mo janja janja!

Kuwa serious bhana. Simba ni timu ya wanachama kama ilivyo kwa Yanga! Na wala siyo mali ya mtu mmoja. Huko kwingine naweza kukubaliana na wewe. Ila kwa simba, naona umepuyanga.
Timu gani ya nyumbani kwenu? Wale matajiri wenu wa uchochoroni? Arabs Afrika embu ziweke kwa majina na umiliki hapa.
 
Dah aisee. Yanga simmesha Chukua ubingwa mbona nongwa. Yes 49/100 kama ni mmoja ama consortium yake ni inamiliki basi yeye ndio ana say aka kauli kama individual hence mmiliki. Nani ako na influence ya Simba as an individual? Ni Mo. na hata Chelsea ama na Manchester City enzi hizo Abromovich na Sheikh Mansoor tena aliyenunua stake ya 13.7% ndio anahesabika mmiliki.

Aisee najitolea njoo nikupige darasa la ownership na shares with investment linavokua katika PLC. Usifikirie kama umiliki wa biashara ya mshua in numbers
The Russian-Israeli billionaire bought the Blues in 2003 from the Chelsea fan and businessman Matthew Harding and Ken Bates.
Ken Bates bought the club for a mere £1 in 1982 and bought a controlling stake in the club, floating the Blues on the AIM stock exchange in March 1996.

Harding then came into the picture, becoming the club’s director and loaning the London club £26 million to build the North Stand and invest in new players.
Abramovich then purchased just over 50% of Chelsea Village plc’s share, including Bates’ 29.5% stake and over the following weeks bought out most of the remaining 12,000 shareholders.

%%%%%%%%%%%$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$$%%%%%%%%%%%%

A club statement said: "As a result of the transaction, Manchester City is now 100% owned by his highness Sheikh Mansour."
 
Timu gani ya nyumbani kwenu? Wale matajiri wenu wa uchochoroni? Arabs Afrika embu ziweke kwa majina na umiliki hapa.
Ali Haddad The president of USM Algiers is not a well known one in the wider African football community but his tenure has coincided with a change in the fortunes of the club. With a net worth of over $300m dollars from his interests in media and hospitality, he is one of the wealthiest owners in the African game.

Ifeanyi Ubah The Nigerian billionaire owns the club that bears his name and has risen to become of the top teams in the league. A ruthless entrepreneur, Ubah is willing to invest a lot of his wealth in elevating the club.

Dr. Papa Kwasi Nduom Papa Kwasi is relatively new to the game of football, the Ghanaian politician who owns over twenty companies in various sectors of the Ghanaian economy bankrolls teams in the Premier league of the men and women's game including Elmina Sharks. He has also constructed an all seated stadium for his Elmina Sharks. He is valued at $400m.

Nigerian billionaire Kunle Soname is a sports gaming mogul and the owner of Bet9ja, an online bookmaker company that offers betting on major sporting events in Nigeria. In 2015, he acquired the Portuguese side, Clube Desportivo Feirense. He also owns the Remo Stars Football Club, a Nigerian football club based in Ikenne, Nigeria, which plays in the second division of the Nigeria National League.

SSB, AZAM FC
 
Kuna jamaa mmoja ana team South Africa yeye ndio mmiliki na yeye ndio kocha na yeye ndio dereva wa bus la wachezaji na yeye ndio doctor wa team somebody jumosono kama sijakosea ila team yake nimesahau.
 
Tangu lini mtu mwenye hisa 49% ya 100%, akawa mmiliki wa kitu! Uache kumtaja Bakhresa anaye imiliki Azam Fc kwa 100%, uende kumtaja Mo janja janja!

Kuwa serious bhana. Simba ni timu ya wanachama kama ilivyo kwa Yanga! Na wala siyo mali ya mtu mmoja. Huko kwingine naweza kukubaliana na wewe. Ila kwa simba, naona umepuyanga.
Ulishawahi shiriki vikao vya board of directors vingapi? Na je unajua namna kampuni zinavyomilikiwa
 
Back
Top Bottom