Wajue Rockafeller Family: Familia tajiri zaidi Marekani na Duniani

Kwan yesu n nan Mkuu?
 
Mmmmh duniani kuna siri nyingi sana jaman.
Hebu
Rockefellers wametajirika kutokana na mafuta, please google 'the men who made america' uone jinsi wao na wengine walivyokuwa wakiitikisa america kwa utajiri wao, na hasa babu yao (John D Rockefeller), Carnegie na J. P. Morgan.

utajiri wa huyo babu john d ulianza alipowapiga mkwara wenzake kwa kuanzisha Standard Oil
 
Where do you draw the line of a historical figure? Does this include Mansa Musa and King Solomon?

Mkuu Kiranga,Manka Musa na King Solomon ni takataka tu,no one can prove walikua matajiri in a sense...zamani hizo watu walikua peku,akivaa sandles inaonekana tajiri ajabu,hakuna ushahidi wa kisayansi au wa kiuchimbuzi(archeology) kwamba mfalme Suleiman alikua ameadvance na kua na wealth kiasi hicho,ni uwongo wa hivi vitabu

I doubt,Mansa Musa na King Solomon walikaa kwenye nyumba za mawe,poorly made,very low technology for today's standards,..madini?alichimba kwa kutumia machines zipi in those days?Tuseme waliokota tu on surface,basi value yake itakua ndogo sana hata kama ni gold...i doubt hayo madini yalikua impure and very raw,methods z extractions hazikuwepo in those days,very poor tech kipindi hicho..

Utajiri wa hawa watu ni myth tu,ambapo hata tukiproject in today's value bado hawatakua na effect kiivyo,effect ya King Solomon kwa dunia ni ndogo mno ukifananisha na mtu kama Bill Gates alivyo change dunia upside down,no way King Solomon wealth ikawa nearly or effective changing the world like Gates's
 
Mkuu nakuomba uchambue kuhusu hawa aliens na asili yake na wanapatikana wap
 
Mtoa mada alisema kafanya uchunguz kw miaka 10 sasa mbona hapa Rockefeller n wa tatu nyuma ya Rothchild na Mansa kankan Mussa…
 

Attachments

  • 1452100156004.jpg
    53.4 KB · Views: 109
Mtoa mada alisema kafanya uchunguz kw miaka 10 sasa mbona hapa Rockefeller n wa tatu nyuma ya Rothchild na Mansa kankan Mussa…
Kannada inaonekana umechimbua kiasi pia hebu tulekebishe kulingana na ulivyo chimbua huyu mansa kankani yuko vip coz wengine hatumfahamu vizuli
 
Kweli kabisa na kua documentary inaitwa WAKE UP CALL imefafanua zaidi juu ya Rockfella na NWO (new word order)
 
Nilishawahi kusoma kitabu kimoja cha vatican assassins... Kinazungumzia matajiri wakubwa duniani jinsi wanavyitumia taasisi mbalibali kuanzia kanisa la Roman na other shadow organisations...

Na vilevile nimewahi kusoma kuhusu familia 13 ndizo zinazo itawala dunia.. Miongoni mwa hizo familia ni rothschilid rockfeller jp morgan.... Nk.. Mwenye data kuhusu hizi familia afunguke
 
Ina maana huyo mansa musa ndio tuliomsoma kwenye history?mi mmenitisha kaaa ndio maana siku hizi siamini dini yoyote naamini Mungu yupo na Yesu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…